Kwa uhuni alioufanya Tshekedi kwenye uchaguzi nchini Congo kuna mtu atamuonea huruma tena

Hakika,

Nilidhani Tshekedi alivokuwa akilia lia na kutia huruma
Angeheshimu democracy ya Wacongoman, hisia na utashi wao kaishia kufanya hujuma za hivi

Haijanipendeza
hoja ni ipi kuwa Tshekedi ni mbaya ila Kagame ni mzuri ? au hoja ni Tshekedi haeshimu democracy ila Kagame anaevujisha hadi video za utupu za wapinzan wake ndo mtakatifu
 
Alimuita Kagame eti ni Dikteta Hitler.

Sasa yeye amuamua kuitawala Congo kimabavu
nchi kama Drc ambapo vijana wanakuja kukata mauno huku dar na kuacha nchi inaonewa na watuts wachache , lzm kiongoz aongoze kwa mkono wa chuma
 
hoja ni ipi kuwa Tshekedi ni mbaya ila Kagame ni mzuri ? au hoja ni Tshekedi haeshimu democracy ila Kagame anaevujisha hadi video za utupu za wapinzan wake ndo mtakatifu
Tshekedi alivojiliza juzi hadi machozi
Et anaonea na Kagame kumbe philosophy za kiutawala ni sawa
 
Hakuna lolote baya litatokea , zaidi ya kelele za kuibiwa kura za wapinzani kwa chama tawala ,kikubwa wataandamana kdg tu kisha ratiba inaendelea

1.Tarehe 31 kutangazwa kwa matokeo
2. January 16/17 kumbukumbu
3.Tarehe 20 kuapishwa

Ni kama hapa tu uchaguzi wa 2020 tena bora wao wanapata wabunge wapinzani hapa hata diwani hakupatikana
 
Woga wa kushindwa kwa hiyo mtu anajiongeza sana kiasi ambacho unakuta anazidi kiwango kwa hofu ya kutojua mwenzie kajipanga vipi
 
Hakuna lolote baya litatokea , zaidi ya kelele za kuibiwa kura za wapinzani kwa chama tawala ,kikubwa wataandamana kdg tu kisha ratiba inaendelea

1.Tarehe 31 kutangazwa kwa matokeo
2. January 16/17 kumbukumbu
3.Tarehe 20 kuapishwa

Ni kama hapa tu uchaguzi wa 2020 tena bora wao wanapata wabunge wapinzani hapa hata diwani hakupatikana
Kibri kimezidi kwa watawala ukanda huu wa EAC
 
Matokeo ya awali yanaonyesha Rais Tshekedi anaongoza kwa asilimia 80 , huku mpinzani wake wa karibu akiwa na 15% pekee

Imekuwa ikiripotiwa hujuma za wazi kwenye uchaguzi nchini Congo kama vile kukutwa na kura zilizopigwa kwenye masanduku ya kupigia kura, vitisho na uhesabuji kura usiokidhi vigezo ukimbeba Tshekedi

Congo imekuwa ikikumbwa na vikosi vya kiharifu vya msituni kama M23

Rais Tshekedi amekuwa akijiliza na kutia huruma kuomba msaada na kumlalamikia Rais Kagame kama ni mfadhili wa wanamgambo hao

Lakini kwa hujuma na kubinya democracy kwa Wakongoman alioufanya huyu bwana basi nasema kila anayeweza kumtwanga afike ajipigie tu

CCM inafanya hivyo toka 1992, na bado wanaendelea. Huoni kama tungeanza na CCM kuonyesha mfano?
 
Matokeo ya awali yanaonyesha Rais Tshekedi anaongoza kwa asilimia 80 , huku mpinzani wake wa karibu akiwa na 15% pekee

Imekuwa ikiripotiwa hujuma za wazi kwenye uchaguzi nchini Congo kama vile kukutwa na kura zilizopigwa kwenye masanduku ya kupigia kura, vitisho na uhesabuji kura usiokidhi vigezo ukimbeba Tshekedi

Congo imekuwa ikikumbwa na vikosi vya kiharifu vya msituni kama M23

Rais Tshekedi amekuwa akijiliza na kutia huruma kuomba msaada na kumlalamikia Rais Kagame kama ni mfadhili wa wanamgambo hao

Lakini kwa hujuma na kubinya democracy kwa Wakongoman alioufanya huyu bwana basi nasema kila anayeweza kumtwanga afike ajipigie tu
Mi japo namkubali Katumbi lakin Tshesekedi nataman ashinde coz ndio rahc Congo waliempata anaemchanganya Kagame na kwa namna anavyoenda biashara ya kagame soon inaenda kukata mazima. Maana karibun linatakiwa liingie jeshi la sadc hapo East Congo kumalizana na jeshi la Kagame linalojifanya kujiita m23. Na Kagame anajua alichokipata kutoka jeshi la TZ na South Africa na Malawi by then.
 
Tshekedi hamwezi Kagame
Atapigwa achakazwe
Madini yanabebwa na Kagame Amri Jeshi analia tu
 
Kagame hayuko fit kama unavyofikiria ila ndie agent mkuu wa CIA na M16 hapa East Africa and central Africa. So wanachofanya wanamlisha taarifa zote za mipango ya serIkali nchini Congo. Na wanamfinace kwa kila kitu. Ila kama unavyojua mzungu akiona gharama ya kuendelea kuwa na wewe ni kubwa kuliko kukaa chini na kuelewana na serikali husika wanakudampo kama walivyofanya kwa Savimbi. Na mzungu kaifanya Congo ndio shamba la bibi haswa.
 
Kwa Afrika hajafanya kitu cha ajabu! Hapa kwetu ndiyo tusiseme! Iwe Kenya, Uganda, Zimbabwe, Angola, Rwanda, nk ni hivyo hivyo!

Yaliyotokea katika nchi za Sahel hayakuishia huko huko tu yanaweza kufika hata nchi nyingine!
Kenya watoe hapo wenzetu wanajielewa sana.
 
Uchaguzi huwa wa nini hapa Afrika, kuna kipindi nimeishi Uganda yaani pale watu walishajikatia tamaa.
 
Matokeo ya awali yanaonyesha Rais Tshekedi anaongoza kwa asilimia 80 , huku mpinzani wake wa karibu akiwa na 15% pekee

Imekuwa ikiripotiwa hujuma za wazi kwenye uchaguzi nchini Congo kama vile kukutwa na kura zilizopigwa kwenye masanduku ya kupigia kura, vitisho na uhesabuji kura usiokidhi vigezo ukimbeba Tshekedi

Congo imekuwa ikikumbwa na vikosi vya kiharifu vya msituni kama M23

Rais Tshekedi amekuwa akijiliza na kutia huruma kuomba msaada na kumlalamikia Rais Kagame kama ni mfadhili wa wanamgambo hao

Lakini kwa hujuma na kubinya democracy kwa Wakongoman alioufanya huyu bwana basi nasema kila anayeweza kumtwanga afike ajipigie tu
Ulikuwepo kwenye uhesabuji kura? Na je we ulikuwa wakala wa chama gani?
 
Kawaida sana ... Mimi nilishajaribu hiyo .... Nijaribu uchaguzi uliopita nilimpigia jamaa mmoja wa ACT wazalendo lakini mwisho WA siku kwenye ubao wa matangazo hakuwa na kura hata Moja katika kituo kile... Nilistaajabu sana....
Yako na familia yako zote ziliharibika
 
Back
Top Bottom