Kwa ufupi: Bilal alikuwa aondoke CCM...

Nadhani Dar iliwahi kumpeleka Mrema, Lamwai n.k. bungeni! Lakini bila shaka watu wa Dar wamekuwa cynical kutokana na matendo yao. Ukichukuwa idadi ya watu vijijini na idadi ya constituency zao basi utaona kuwa bado kuna upungufu.

Amandla........

Well madiwani je, wapo wangapi wa upinzani Dar?
 
Naomba unieleze wewe ulivyoielewa. Mie nimeangalia percentage change na time period.

Mkuu, hii inamaanisha wakati wa Mkapa TZs ilifanya vizuri kuliko sasa (JK anafanya mbaya sana- TZs imefunga turbo, inapaa)!!!
My explanations opposite to what you suggested!!
 
Bilali kaishia kuwa mchangamshaji wa siasa za Zenj..ndio mwisho wake kisiasa
 
Back
Top Bottom