Kwa ufanisi wa 47% serikali ijieleze kwa nini iwe hivyo?

TEMILUGODA

JF-Expert Member
Feb 11, 2012
1,389
285
Wajameni kama ufanisi wa opprass kwa mtumishi ungekuwa 47% ni lazima angejieleza kwa nini hajapata B au A? Kama ni uwazi basi mimi nataka serikali ionye uwazi wa sababu kwa nini imeshindwa kutekeleza miradi ya maendeleo?
 
Back
Top Bottom