Kwa tabia hii wamama na wadada mnamaanisha nini?

Good Father

JF-Expert Member
Feb 28, 2014
10,277
18,354
Wadau kuna katabia flani kamezuka kutoka kwa wanawake watu wazima wenye umri mkubwa tu na wengine unaweza kuona wanakuzidi au mnalingana.

Hivi hua lengo lenu ni lipi unakutana na mimi unanisalimia "shikamoo" niko kwenye 30s nawewe uko kwenye 30s, una familia, una mume au uko single, wengine mnatoa shikamoo ilihali ni wakubwa kunizidi hivi hii tabia imetoka wapi? na wahusika wana manufaa gani juu ya hili?

Siwaelewi kabisa, au naonekana mzee sana kama hamtajirekebisha ntazungumza na yule naibu minister wa mambo ya akina Mond awafungie kusalimia

Kuna wakati naona aibu kuitikia kabisa salamu zenu, mtu ukitazama usoni kwake unaona kama sister yako unayeweza kumfuata kwa kuzaliwa au ukamfuata mara ya pili kwa kuzaliwa, maajabu sana haya sijui yananitokea mimi tu au wanaume wenzangu pia yanawakuta?
Na nyie KE mtuambie kuna maslahi gani nyuma ya hili
 
Wadau kuna katabia flani kamezuka kutoka kwa wanawake watu wazima wenye umri mkubwa tu na wengine unaweza kuona wanakuzidi au mnalingana.

Hivi hua lengo lenu ni lipi?
Unakutana na mimi unanisalimia "shikamoo" niko kwenye 30s nawewe uko kwenye 30s, una familia, una mume au uko single, wengine mnatoa shikamoo ilihali ni wakubwa kunizidi hivi hii tabia imetoka wap? Na wahusika wana manufaa gani juu ya hili?

Siwaelewi kabisa, au naonekana mzee sana
Kama hamtajirekebisha ntazungumza na yule naibu minister wa mambo ya akina Mond awafungie kusalimia

Kuna wakati naona aibu kuitikia kabisa salamu zenu, mtu ukitazama usoni kwake unaona kama sister yako unayeweza kumfuata kwa kuzaliwa au ukamfuata mara ya pili kwa kuzaliwa, maajabu sana haya sijui yananitokea mimi tu au wanaume wenzangu pia yanawakuta?
Na nyie KE mtuambie kuna maslahi gani nyuma ya hili
Defensing mechanism
 
Em weka picha yako tukuone manake tusije kuwalaumu kumbe una sura ya kizee baba
Hiyo mkuu
FB_IMG_1514907202666.jpg
 
pokea salam.
acha kujifanya mdogo.
Fatuma kila siku nikimpigia simu lazma aniamkie.
Sijifanyi mdogo mkuu.
Ila kuna wakati naona aibu kuitikia salamu za baadhi ya wanawake, mtu unamuangalia unaona kabisa huyu analingana na dada yangu Cha ajabu ananisalimia shikamoo
 
Wewe KIJANA mbona hizo ni mambo za kawaida tu. Akikusalimia hivyo haimaanishi ukubwa au udogo its just a part of refreshment. Hata Mimi huwa nasalimia wadada wadogo tu kama joks ..
 
We ipokee tu kwani inakupunguzia nini. Mbaya kama ungekuwa kila ukisalimiwa na sura yako inabadilika.

"Shikamoo natoka hapa" Teh teh.
 
Sasa kama una sura kama yule katibu mwenezi wa baba wa malaika, nini unatarajia?

Naona siku hizi naye anabadirika. Pesa mwanaharamu kweli!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom