Kwa sasa Wabunge walioshindwa kutetea Ajira zao, wanajishughulisha na kazi gani kujiingizia kipato?

Kajeba

JF-Expert Member
Oct 15, 2020
827
1,966
Habari Jf,

Napenda kuuliza kwa watu wenye taarifa zaidi juu ya waliokuwa Wabunge na sasa waligombea mfumo ukawakataa kwa sasa wanajishughulisha na majukumu gani ya kuwaingizia kipato kuweza kukidhi mahitaji yao?

Akina Zitto Kabwe, Halima Mdee, Ally Kessy, Freeman Mbowe, Sugu, prof J, John Heche, Easter Bulaya Msigwa na wengineo.

Kwa sasa wanapata wapi pesa ya kuendesha maisha yao ikiwa hatuwaoni huku tukipambana pamoja kutafuta pesa za kula na kuweka voucher?

Mwenye taarifa za watu hawa atuwekee hapa kwa maslahi mapana kwa vijana wa nchi hii wanaotegemea ajira wajifunze kutoka kwa waheshimiwa hao.
 
Back
Top Bottom