Kwa Sasa kiwango cha furaha kwa Watanzania kimeshuka

live on

JF-Expert Member
Dec 30, 2018
792
1,267
Kwa Sasa watanzania wanaishi kama digidigi hawana kabisa furaha na nchi Yao kutokana na mambo yafuatayo

UMEME
Kwa Sasa hichi ndio kilio kikubwa Kwa wananchi watu ambao shughuli zao za kuingiza kipato ndio wanahali mbaya sana kama vinyozi , mafundi welding na wengine wengi

VITU KUPANDA BEI
Hivi Sasa Kila kitu bei ipo juu nauri, vyakula na mafuta

HUDUMA MBOVU HOSPITAL
Kila siku watu wanalalamika kuhusu huduma za hospital

HUDUMA MBOVU KUTOKA KWA WATUMISHI WA UMMA
Hivi Sasa Watumishi wa umma ukiingia ofisini kwao wanakuona. kama kikaragosi
 
Unajua unapandisha au kushusha kitu ambacho unacho, kismsing watu hawana furaha, hivyo hawana cha kupandisha wala kushusha
 
Mbona hayo yote yaliyo semwa kuwa yanachangia watanzania kutokua na furaha yalikuwepo tangu nchi ipate uhuru? Sema sasa mtanzania kapata maendeleo na anatumia huduma nyingi kwa hiyo hizo ndio changamoto kua matumizi yanazidi ukuwaji wa hizo huduma
 
Back
Top Bottom