Kwa nini wanawake wanene ni watamu kimapenzi kuliko wembamba (vimbaumbau)?

MUYOOL

JF-Expert Member
Nov 7, 2012
561
444
Hi!

Namaanisha wanawake wanene kiasi na siyo wale wenye Obesity.Utafiti unaonyesha wanaume wengi wa kiafrika tunawapenda miss Bantu kuliko vimbaumbau yaani wale wanaojikondesha ili wawe na English figure.Unajua hakuna anayependa kugusana na mifupa kunako 6 kwa 6

Utafiti wangu bado unaendelea ila nategemea kupata majibu mengine humu JF.
 
Huo utafiti ulifanya lini?? na ulishirikiana na nani??? Na T.B.S inatambua hilo na kuweka kwenye orodha yao????
 
Naskia Madame B ni bonge la zaftig
Madame b.jpg Ndo huyo msiulizie sana picha yake hiyo!! Nyani Ngabu MUYOOL

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom