Kwa nini wanawake hutoka nje?

Mie nafikiri kuna vitu vikubwa vitatu
  • Ni tabia binafsi ya kupenda ku cheat hasa kwa hawa wanawake tunaokotana barabarani kisa kajipaka wanja anang'ara , na ukiwauliza wanaume wengi wanaolalamikia wanawake wao wengi watakuambia nilivutiwa naye nikamweka ndani lakini hakuna hata chembe ya jitihada za kusomana tabia iliyofanyika
  • Sababu nyingine ni maudhi katika ndoa hasa kutoka kwa upande wa wanume..mambo kama ulevi, kutoridhishana kwenye mambo yenu yale na magomvi yasiyosiha
  • La tatu wengi huwa wanaingia kwenye ndoa wakitegemea kuishi as QUEENS and ANGELS, wakikuta hali tofauti hutafuta suluhu kwingine na hii hufanyika mara nyingi sana kwa ndoa changa......
 
sababu zote ulizotaja ni za msingi
 
kwa uelewa wangu,wanawake tunacheat kwasababu ya maudhi, myself niliwahi kucheat kwasababu hiyo. Yaani unakuta mtu anajitoa kwenye mood ya kuongea bila sababu ,ht ukimpigia simu hapokei wala hajibu sms na wakati hayo yanaendelea alikuwepo mtu mmoja alikuwa anafatilia sana kwa zaidi ya miezi 6,nikajionea ya nini kuwa na mtu aliejitoa kwny mood mwenyewe.
 
wanaume ndo chanzo cha wanawake kucheat unakuta mwanaume hakujal anakuwa anakupa kero za kila mara ss kwann m2 asi mcheat

kwa uelewa wangu,wanawake tunacheat kwasababu ya maudhi, myself niliwahi kucheat kwasababu hiyo. Yaani unakuta mtu anajitoa kwenye mood ya kuongea bila sababu ,ht ukimpigia simu hapokei wala hajibu sms na wakati hayo yanaendelea alikuwepo mtu mmoja alikuwa anafatilia sana kwa zaidi ya miezi 6,nikajionea ya nini kuwa na mtu aliejitoa kwny mood mwenyewe.

hamna lolote,the force of cheating ipo ndani mwenu ni sababu tu ndiyo huwa mnatafuta.....kama unaona mtu hakufai kwanini ucheart si uachane naye.
 
sababu zote zinaweza kuhusika, except for #2. kama mwanamke anasikilizwa na kuheshimiwa hawezi kamwe kujiskia kuwa amezeeka. mwanamke hazeeki,anazeeshwa! na hata issue ya kutoridhika na tendo la ndoa nalo limekaa kihisia zaidi. if u make her feel u like her man, yaani nadhani ni mteremko tu!sasa kama ni serial cheater,u dont spend time together, anakuwa anajiskia kama hgeli,hakuna heshima wala nini! unategemea nini?
turejee maandiko ya dini: wanaume wapendeni wake zenu, na wanawake watiini waume zenu! mwanamke akioneshwa kupendwa, yaani ni automatically atakutii na kukutumikia kwa uaminifu! lakini lazma mapenzi yaanze kwanza,ndo utii ufuate. mimi naamini wanawake ni waaminifu sana,lakini frustration ndo zinapelekea going astray! kuna watu ni serial cheaters,lakini mkewe humuambii kitu!of coz kuna black sheep kwenye kila jamii,na hapa ndipo sababu hizo hapo juu zinakuwa na maana

Nakubaliana na wewe kwa kiasi kikubwa.
Sababu za kuolewa zinatofautiana kati ya mwanamke na mwanamke. Ku-cheat au kutoku-cheat inategemea na sababu za mwanamke kuolewa, na pia background ya mtu.
Hapo kwenye red: inamaana leo hii nikimchukua dada fulani mapepe sana kutoka bongo movie nikamuweka ndani na kumuonyesha mapenzi hayo unayoyasema, je atatulia na hato-cheat?
 
Back
Top Bottom