Elections 2010 Kwa nini simchagui Jakaya Mrisho Halfani Kikwete hapo J'pili?

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,349
6,476
1. Kabadilisha mfumo wa CCM
a. Yeye yuko kwenye kundi la CCM JK Family
b. Kamati kuu ya CCM kwa sasa ina wajumbe wawili tu (JK na Mama Salma)
c. Halmashauri ya kuu ya CCM ina wajumbe wafuatao: JK, Mama Salma, Ridhiwani, Miraji, Makamba, Zakia Meghji, Kinana, Lt. Gen. Shimbo, Tambwe Hizza, January Makamba, Mwamvita Makamba, Rostam Aziz, Eddo, Andy Chenge, Mramba na wengineo
d. Mkutano Mkuu wa CCM ni Halmashauri Kuu ukiongezea wengi wa type yao

NB: Huu ndio mfumo wa CCM wenye nguvu na ule ulio kwenye katiba ya CCM ni gelesha tu na utatumika rasmi endapo JK atashinda uchaguzi mkuu wa 2010.

2. Anategemea sana kuomba misaada kutoka nchi tajiri kwa ajili ya kuboresh maisha ya watanzania kitu ambacho ni hatari kwa uhuru wetu
3. Anakumbatia mafisadi
4. Anabariki rushwa
5. Mzushi
6. Si mkweli
7. Mwepesi kusahau na kudanganywa
8. Afuati katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania
9. Serikali ya Chama cha CCM JK Family kitakuwa kwa maslahi ya JK family
 
1. kabadilisha mfumo wa ccm
a. yeye yuko kwenye kundi la ccm jk family
b. kamati kuu ya ccm kwa sasa ina wajumbe wawili tu (jk na mama salma)
c. halmashauri ya kuu ya ccm ina wajumbe wafuatao: Jk, mama salma, ridhiwani, miraji, makamba, zakia meghji, kinana, lt. Gen. Shimbo, tambwe hizza, january makamba, mwamvita makamba, rostam aziz, eddo, andy chenge, mramba na wengineo
d. mkutano mkuu wa ccm ni halmashauri kuu ukiongezea wengi wa type yao

nb: Huu ndio mfumo wa ccm wenye nguvu na ule ulio kwenye katiba ya ccm ni gelesha tu na utatumika rasmi endapo jk atashinda uchaguzi mkuu wa 2010.

2. anategemea sana kuomba misaada kutoka nchi tajiri kwa ajili ya kuboresh maisha ya watanzania kitu ambacho ni hatari kwa uhuru wetu
3. anakumbatia mafisadi
4. anabariki rushwa
5. mzushi
6. si mkweli
7. mwepesi kusahau na kudanganywa
8. afuati katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania
9. serikali ya chama cha ccm jk family kitakuwa kwa maslahi ya jk family

teh teh teh acha kudanganya wenzako wewe unampenda sana jk wewe...sema tu ukweli from the bottom of ur heart to the four chamber.....
 
1. Kabadilisha mfumo wa CCM
a. Yeye yuko kwenye kundi la CCM JK Family
b. Kamati kuu ya CCM kwa sasa ina wajumbe wawili tu (JK na Mama Salma)
c. Halmashauri ya kuu ya CCM ina wajumbe wafuatao: JK, Mama Salma, Ridhiwani, Miraji, Makamba, Zakia Meghji, Kinana, Lt. Gen. Shimbo, Tambwe Hizza, January Makamba, Mwamvita Makamba, Rostam Aziz, Eddo, Andy Chenge, Mramba na wengineo
d. Mkutano Mkuu wa CCM ni Halmashauri Kuu ukiongezea wengi wa type yao

NB: Huu ndio mfumo wa CCM wenye nguvu na ule ulio kwenye katiba ya CCM ni gelesha tu na utatumika rasmi endapo JK atashinda uchaguzi mkuu wa 2010.

2. Anategemea sana kuomba misaada kutoka nchi tajiri kwa ajili ya kuboresh maisha ya watanzania kitu ambacho ni hatari kwa uhuru wetu
3. Anakumbatia mafisadi
4. Anabariki rushwa
5. Mzushi
6. Si mkweli
7. Mwepesi kusahau na kudanganywa
8. Afuati katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania
9. Serikali ya Chama cha CCM JK Family kitakuwa kwa maslahi ya JK family
Unasababu chache wewe!
 
Back
Top Bottom