Kwa nini siku hizi star tv na rfa hasomi gazeti la tanzaia daima asubuhi?

PAMBANA

Member
Oct 21, 2010
73
21
Ndugu wanaJF naomba kuuliza swali " kwa nini siku hizi watangazaji wa STAR TV na Redio Free Africa hawalisomi gazeti la TANZANIA DAIMA katika kipindi cha watanzani tuzungumze magezeti cha saa 12:30 asubuhi?" Najua kuna watu hapa watasema kuwa mbona kuna magazeti mengi hayapitiwi asubuhi,ni kweli ila hili ni miongoni mwa magazeti ambayo walikuwa wanapitia vichwa vyake vya habari.Tafadhali mwenye taarifa kamili kuhusu hili naomba atujuze.

:rain:MUNGU IBARIKI AFRICA MUNGU IBARIKI TANZANIA:rain:
 
Mh sijawafatilia hao, ngoja tusubiri wadau watudadavulie juu ya 'why' ?
 
Hatuhitaji media zinazotegemea ramli ya mganga.RFA wana hasira na Mh.Kiwia kumdondosha mmiliki wake Diallo.
 
Labda haliwafikii muda muafaka. Wewe unafikiri kuna sababu gani ningine inayosababisha wasisome wakati wanaasoma Raia mwema, kulikoni, mwanahalisi na mengine.

Kwanini tanzania Daima gazeti la mungu wa Chadema?
 
Pole sana kwa usisiem wako angalia usije ukapata vidonda vya tumbo maana hasira uliyonayo si ya kawaida
 
Back
Top Bottom