POSHO MAVYEO
JF-Expert Member
- Jun 28, 2011
- 371
- 112
View attachment 32920
Bill ana miradi mingi sana hapa tanzania ingekuwa busara kama watanzania wangejua amekuja na nini kimemleta
kama kuna kitu kinaendelea nchi mwetu ni haki kujua sia kupigwa kama mshangao
mbona wengine tunajulisha hata miazi mingi kabla
Security!
Nimeshangaa sana jamaa kaja kimya kimya ****** alpomaliza kuongea nae yeye huyo kwenye pipa!
someni vizuri ilikuwa 'private visit' na alimtembelea rais kama courtesy call.
mbona bush na mama clinton walisema
hakuna hata media coverage ya kutosha aftermaths
Hivi ni serikali imeficha au hii habari sio priority kwa waandishi wa habari?
Ina wezekana mwenyewe (Bill Gates) alitaka iwe private matter. Mfanyabiasha na kiongozi wa nchi ambae yupo kwenye ziara rasmi ni vitu viwili tofauti.
umesoma habari yote kuna mambo kafanya ya kiofisi je ni yepi hayo?
BILL sio mfanyabiashara mkuu ni zaidi ya hapo soma vizuri mambo yake
Haibadilishi fact kwamba kama mwenyewe alitaka trip iwe private ana haki hiyo.
We are ready to continue assisting Tanzania if you will avail your priorities to us, said Mr Gates, who is in the country with his wife, Melinda, on a private family trip.A statement from President Kikwetes assistant press secretary, Ms Premmy Kibanga, said for his part, Mr Kikwete thanked Mr and Mrs Gates for the great assistance they have been extending to the country.
he two have also performed a number of official duties, including visiting and inspecting a number of projects which they have been supporting in the country. They have already visited a Research and Training Centre at Bagamoyo District Hospital, which is part of the Ifakara Health Research and Development Centre (IRHDC). The Bagamoyo research centre is aimed at finding the source of cassava disease.
[/QUOTE
He has performed official duties chini ya ofisi gani mkuu? Kama kaenda yeye kama yeye haijalishi katembelea wapi it is still private. Unless utuambia katembelea huko chini ya public office ipi ila if it is private it is private.
Soma hapo mkuu.
hii ni TWO ni ONE bana
hacha ubishi nimekuwekea hapo juu hoja hiko wazi alitembelea na miradi anayefadhili
harafu kama ilikuwa ni private na wao hawataki sisi tujui hiyo picha ni kwa hisani ya mpicha picha wa IKULU
imewekwa kwenye HABARI LEO kwenye gazeti la serikali bila habari yeyote ya maandishi
lakini magatezi ya kenya yameandika hii habari na hiyo unayong'ang'ania wewe nimeiweka hapa baada ya kuitafuta kwenye
mitaandao.
ndio maana nina uliza kwa nini hapa nyumbani kimya hali kwingine wanasema ?
mbaya zaidi wametuweka picha tu ya kikwete kwenye suti yake mpya
wanaficha nini?
he two have also performed a number of official duties, including visiting and inspecting a number of projects which they have been supporting in the country. They have already visited a Research and Training Centre at Bagamoyo District Hospital, which is part of the Ifakara Health Research and Development Centre (IRHDC). The Bagamoyo research centre is aimed at finding the source of cassava disease.
[/QUOTE
He has performed official duties chini ya ofisi gani mkuu? Kama kaenda yeye kama yeye haijalishi katembelea wapi it is still private. Unless utuambia katembelea huko chini ya public office ipi ila if it is private it is private.
ok kwa nini serikali imetoa hii habri nusu kwenye gazeti la HABARI LEO wameweka picha tu!!!!!!!!!!! why?
kasema nini?
kikwete anamshukuru kwa mambo yapi?
hakuna private hali picha ziko magazetini , ikulu wangefanya press release basi baada ya yeye kuondoka wameongea nini?
au kakuta hela imeliwa sasa wanaficha baada ya kushitukia?
Mtoto wa Lockfaller alimtuhumu sana kikwete mwaka jana kwa kumumia vibaya hela wanaliyokuwa wakimpa leo huyo kaja katuweka picha tu.