Kwa Nini Mnatutenda Sasa Hapa !!?????!!

hayo unayasema wewe! kama JF inaendeshwa kichama mbona mwanaccm uko hapa na wenzako lukuki?

there you go, then why zitto thread deleted ? acha basi mod. afute na hizo zote kuhusu zitto. Halafu kizuri zaidi ni kwamba NI KWELI KABISA HAYO MANENO NIMESEMA MIE, NA HAIHITAJI WEWE KUANGALIA KWA MAKINI KUONA KWAMBA SIJASEMA MTU KANIAMBIA NISEME NILICHOSEMA !
 
Kada punguza munkari...we know what is going on here. Ooh I forgot I should use ( I )...kwi kwi kwi.
 
najua sio weekend lakini ni lunch time kwa watu wanaotumia mountain time, mbona umeanza tena vilio?

ni vizuri sana chadema wanavyokutumia wewe kuwa kama distraction katika important issues ili kuzuia na kuleta zuga yenu as usual ! mwambie mod. afute thread za zitto zooote then we can carry on !
 
Kada punguza munkari...we know what is going on here. Ooh I forgot I should use ( I )...kwi kwi kwi.

i know mkuu, basi at least kama JF ikiwa labeled Chadema Forum, i could have no reason to compain, lakini ni Jambo, then why not complain !
 
Jambo lingine ni kwamba pamoja na kuwa inasaidia kupunguza jazba, tupunguze maneno na malumbano ambayo hayapanui mjadala badala yake yanapoteza muda na nafasi kubwa ambayo inatugharimu sisi wengine ambao kwanza mitandao yetu haina kasi, pili tunalipia kwa kila sekunde tunayotumia na malipo yenyewe ni makubwa sasa tunaposoma kurasa 32 ambazo nusu ni watu wanalumbana inatuumiza sana sisi WADANGANYIKA.
 
Jamani wakuu,
Nyani huyoooooooo!!! karibia anatutoroka!!!

Hebu tuwahi kumkoma kabla hajafika mbali haya mengine tuwaachie African Melody nadhani wanayaweza zaidi yetu wote, Hata hivo tukumbuke swali gumu aliloulizwa PM wetu mpaka leo bado ana saka jibu lake.. kwamba mshika mawili moja humponyoka!! TUMKOME NYANI JAMA HIZI N.K HAZILIPI WAKUU!!!
 
Nafikiri mwenye haki ya kujibu complains zako ni Admin/Moderator. Subiri majibu...
 
this can be solved very easy and peacefully, ni mod. tu kufuta thread za zitto ! mchezo umekwisha !
 
ni vizuri sana chadema wanavyokutumia wewe kuwa kama distraction katika important issues ili kuzuia na kuleta zuga yenu as usual ! mwambie mod. afute thread za zitto zooote then we can carry on !

ohh come on... topic ngapi hapa zinafutwa every other day!

whats up wit JF bashing..... malalamiko tu all the time!

goooosh!
 
ohh come on... topic ngapi hapa zinafutwa every other day!
whats up wit JF bashing..... malalamiko tu all the time!

goooosh!

then i guess the moderator wont have no problem deleting all threads related to zitto ! he can do that, let him do it ! easy !
 
Mwafrika wa kike is now also known as the depressed, angry, and stubbon- binti majogo ! KAMWE SITOKULAUMU MAANA MWENYEWE USHASEMA ULIVYO ! SO I'LL TREAT YOU LIKE A RETARD. lol !

depressed+angry= RETARD !
 
Knight at work...distraction to elude the matter at hand.

ndio hicho tu anachokiweza ! yaani wanamtumia ebu kazime moto na yeye anakuja kuchekacheka ovyo hapa ! unajua kuna mzee mmoja bana, mwanae alienda shule na alipokuwa darasani alisahau kitabu basi mwalimu alimchapa yule mtoto bakora huwezi amini, sasa kumbe yule mtoto babake alikwa mganga. wiki ikapita, mtoto yupo kimyaaa, haongei na mwalimu wake, wiki ya pili unaambiwa yule mwalimu kawa chini, kila saa anataja jina la yule dogo, huku akichekacheka ovyooooo ! sasa ndio namkumbuka huyo mwalimu namfananisha na mwafrika jike !
 
Back
Top Bottom