Kwanini mmeweka form yangu ya maombi ya SENSA kwenye RECYCLE BIN?

Wild fauna

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
461
189
Ama kweli,leo nimekubali ile kauli mbiu inayosema WEWE UNAMJUA NANI? NA SIO WEWE UNA QUALIFICATION GAN?
Pamoja na bachelor yangu nimeangukia pua kwenye kazi ya muda ya sensa.ILA HAKUNA MBAYA KWANI KINACHONIUMIZA NAAMINI KINANIKOMAZA KIJESHI,nimlilie nani wakati hakuna anayenijali?,HII NDO
SAUTI YA MPWEKE NYIKANI
 
Una bachelor ya nini ndugu, na unafanya nini kuendesha maisha yako kwa sasa?
 
Mkuu usijali! Tuungane september! Tunajitupia jeshini, nafasi za professional zinatoka! Kule hata kama unamjua nani ila na wewe ujijue la sivyo chali! Twende tukajipange kuwaoa malawi na madam wao.
 
Mkuu pole,kata gani?halafu kuna baadh ya kata wale ambao majina yao hayajatoka waliambiwa wapeleke vyeti kama kawe,tabata.
 
Dah nlifkiri mie peke yangu kumbe wengi..mie nimeenda nkakuta maafisa wanajipongeza ndugu zao wametokea kwny list..mie nkaondoka taratibuu kiunyonge huku siamini!!
 
Ama kweli,leo nimekubali ile kauli mbiu inayosema WEWE UNAMJUA NANI? NA SIO WEWE UNA QUALIFICATION GAN?
Pamoja na bachelor yangu nimeangukia pua kwenye kazi ya muda ya sensa.ILA HAKUNA MBAYA KWANI KINACHONIUMIZA NAAMINI KINANIKOMAZA KIJESHI,nimlilie nani wakati hakuna anayenijali?,HII NDO
SAUTI YA MPWEKE NYIKANI

pole sana,tuko pamoja mimi nimemwagwa pamoja na degree yangu ya statistics,ucjali ipo siku utapata mungu yupo!
 
Usiumie sana, walitimiza wajibu wa kisheria tu kuutangazia umma nafasi za wajinga wenzao. Tangu awali ilifahaamika kuwa kazi hizi walishajigawia wenyewe
 
majina yamebandikwa leo asubuhi na tangazo lilikuwepo kama majina yatabandikwa j3, unaenda unakuta jina unaulizwa unaambiwa umechelewa majina yalibandikwa j2 na usahili ushafanyika j3 asubuhi!! Nimeenda saa 3 jiuliza wamefanya saa ngapi
 
natafuta undugu hata wa kuunga ngudi kwa vizito ili nitoke wallah.wamechukua form 4 na 6 lukuki bachelor wa kuhesabu labda ndio.....
 
Kilichokuwa kinatakiwa sio Bachelor, wewe ukapeleka Bachelor.

Kwanza aliongea vibaya sana.....eti mimi na Bachelor yangu nikikosa na wa Form 4 apate itawezekana? imewezekana sasa!! Kula hiyo Bachelor yako....kila kitu ni kumtanguliza Mungu na sio Elimu yako!!
 
Bush fisi ooppss "Bushbaby" GOD always bless knowlegle not ignorance,acha upimbi.
 
Hivi wanalipa sh ngapi naona wasomi wetu wengi na digrii zenu mnakimbilia huko wakati zilikuwa ni nafasi za tichazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom