Kwa nini kuupinga Mkataba wa Bandari inaitwa "udini" lakini kuunga mkono sio udini?

Kwa Rais Mstaafu @jmkikwete na mnaosema Baraza La Maaskofu wana chuki za kidini. Naombeni mnieleweshe:

Baraza hili la maakofu (TEC) mwaka 2018 lilipotoa waraka wa Pasaka wa kupinga mauaji na utekaji wa watu uliofanywa na Serikali ya Jiwe walikua na vhuki ya Kidini na 'Mkatoliki' Mwenzao Magufuli?

Mmesahau Askofu Severine Niwemuguzi alinyang’anywa Passport na kuambiwa sio raia kwa sababu ya kupinga uonevu wa
Jiwe, alikua na chuki na Mkatoliki mwenzake?

Wakati wa COVID Baraza La Maaskofu lilipotoa waraka wa kumpinga Magufuli kuwa COVID haipo na kutaka serikali iruhusu watu wapewe chanjo, walikua na chuki za kidini na Magufuli Mkristo mwenzao?

Walivyo kemea madudu ya uchaguzi wa 2020 walikuwa na chuki za kidini na Magufuli Mkristo mwenzao?

Kama kila wakati kukiwa na mjadala wa kitaifa wanatoa Waraka, na hamkuwai kuona shida, kwanini mnataka sasa wasitoe?

Kwahiyo wakitoa kwa Mkristo mwenzao sio chuki? Wakitoa sasa kwa Muislam ndio wana chuki?

Naomba hawa wakujibu nawakubali na Kuwaamini sanaa wana Upeo Mkubwa sanaa
Cc
big show FaizaFoxy john roberts na Mwingine Ninemsahau
 
Kipindi cha mkapa alipotaka kuuza shirika la ndege TEC walimuita na kumuonya mwisho akaacha angekuwa ni wadini nyingine ingezuka hoja ya udini
 
Kwa Rais Mstaafu @jmkikwete na mnaosema Baraza La Maaskofu wana chuki za kidini. Naombeni mnieleweshe:

Baraza hili la maakofu (TEC) mwaka 2018 lilipotoa waraka wa Pasaka wa kupinga mauaji na utekaji wa watu uliofanywa na Serikali ya Jiwe walikua na vhuki ya Kidini na 'Mkatoliki' Mwenzao Magufuli?

Mmesahau Askofu Severine Niwemuguzi alinyang’anywa Passport na kuambiwa sio raia kwa sababu ya kupinga uonevu wa
Jiwe, alikua na chuki na Mkatoliki mwenzake?

Wakati wa COVID Baraza La Maaskofu lilipotoa waraka wa kumpinga Magufuli kuwa COVID haipo na kutaka serikali iruhusu watu wapewe chanjo, walikua na chuki za kidini na Magufuli Mkristo mwenzao?

Walivyo kemea madudu ya uchaguzi wa 2020 walikuwa na chuki za kidini na Magufuli Mkristo mwenzao?

Kama kila wakati kukiwa na mjadala wa kitaifa wanatoa Waraka, na hamkuwai kuona shida, kwanini mnataka sasa wasitoe?

Kwahiyo wakitoa kwa Mkristo mwenzao sio chuki? Wakitoa sasa kwa Muislam ndio wana chuki?
waislamu wachache sana wanatumia akili zao

ila wengi wao taka taka kabisa
 
Wasituhamishe kwenye mada, ishu kubwa hapa ni kuupitia upya mkataba.
 
Ndio haya mambo yaishe sasa viongozi wa dini wabakie kwenye field zao ni hatari wao kuongia kwenye siasa na nyakati zinaonyesha hivyo kwa sasa tunahitaji serikali imara leo kesho na keshokutwa sisi na viongozi wa dini na waumini na waamini yetu ni kwenye sanduku la kura na kutoa maoni yetu tu ila sio kuiendesha serikali kwa rimoti na kupush agenda zenye maslahi na taasisi zetu.
Hayawezi kuisha hadi mkataba wa bandari ufutwe au urekebishwe.

Kwenye waraka wa TEC kuna
kipengele kimezungumzia dini?
 
Sijui lini hawa wapumbavu watapungua nchi hii!
badala ya kujadili hoja ya msingi wanaleta upumbavu wa kiasi cha kutisha!
Natamani Tz ingetengwa sehemu mbili; werevu nchi yao na wapumbavu nchi yao!
 
Back
Top Bottom