Gosbertgoodluck
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 2,855
- 401
Wandugu,
Hako ni kaswali ka kizushi tu. Huyu mheshimiwa naona ameanza tena kutembelea wizara na kutoa maagizo kwa waziri mbele ya watendaji wake. Ninachojiuliza ni je, kwani kwenye vikao vya baraza la mawaziri hakuna fursa ya yeye kutoa maagizo kwa waziri husika kiasi cha kumlazimu amfuate wizarani? Au ndiyo ile tabia yake maarufu ya kupenda publicity na kuwapumbaza wananchi aonekane ni mchapa kazi?