Kwa niaba ya Wazanaki walioko/ tulioko hapa JamiiForums tunasema Asante sana kwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa Wema wake

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,646
109,027
Kitendo cha kuhakikisha Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Musoma Vijijini kwa miaka 15 kisha wa Butiama kwa miaka Mitano (5) Hakimu Mkazi wa Zamani na Wakili wa Kujitegemea Marehemu Nimrod Elirehema Mkono unarejeshwa nchini Tanzania na kutoa Ndege ya Kubeba Mwili.

Wanafamilia, Ndugu na Jamaa na Kuagiza Serikali isimamie Shughuli zote za Mazishi yake Kijijini Kigori Busegwe Wilayani Butiama Mkoa wa Mara ni cha Kupongezwa na Kimetufariji vilivyo Wazanaki na GENTAMYCINE kwa Niaba yao nasema ASANTE SANA MHESHIMIWA Rais Samia Suluhu Hassan na Mwenyezi Mungu akubariki zaidi na akufanikishe katika Uongozi wako, Serikali yako na Familia yako.

R.I.P Uncle Nimrod Elirehema Mkono.
 
RIP mwamba, huyu ni katika mawakili wenye akili nyingi waliowahi kuitumia taaluma ya kisheria kuiFILISI nchi! Apumzike anapostahili
Mafisadi wanakufa vifo vya vibaya sana. Kafia kwenye nyumba ya kutumzia wazee.
Yule wa Lupaso, alifia chooni baada ya kuzidiwa na ma grants na mavodka.
Wa Monduli yuko kwa Madiba, hana fahamu tangu mwaka jana
 
Ninyi majinga ya jamii forum na nyinyiemu ndo mmetumia ujinga wenu kulifikisha taifa hapa lilipo huyo Mzee hana baya na mtu Wana wa MUSOMA vijijini tunamkubali na tunaenda kumzika Mzee wetu kwa heshima zote na mizinga kama yote

Nyumbu wewe
 
Kitendo cha kuhakikisha Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Musoma Vijijini kwa miaka 15 kisha wa Butiama kwa miaka Mitano (5) Hakimu Mkazi wa Zamani na Wakili wa Kujitegemea Marehemu Nimrod Elirehema Mkono unarejeshwa nchini Tanzania na kutoa Ndege ya Kubeba Mwili.

Wanafamilia, Ndugu na Jamaa na Kuagiza Serikali isimamie Shughuli zote za Mazishi yake Kijijini Kigori Busegwe Wilayani Butiama Mkoa wa Mara ni cha Kupongezwa na Kimetufariji vilivyo Wazanaki na GENTAMYCINE kwa Niaba yao nasema ASANTE SANA MHESHIMIWA Rais Samia Suluhu Hassan na Mwenyezi Mungu akubariki zaidi na akufanikishe katika Uongozi wako, Serikali yako na Familia yako.

R.I.P Uncle Nimrod Elirehema Mkono.
Hongereni serikali kuwasaifia kuzika kuepuka msilete aibu kwenye kabila ya Nyerere

Sasa tunasubiri muanze vita zenu za kugombea mali za Marehemu Mukono

Kama maiti tu kulikuwa na vita ya patashika nguo kuchanika hadi serikali ikaona ifiche hiyo aibu sipati picha kitakacholipuka kwenye kugombea mali zake

Serikali kwenye msiba imewexa kivumbi kwenye mali
 
Ninyi majinga ya jamii forum na nyinyiemu ndo mmetumia ujinga wenu kulifikisha taifa hapa lilipo huyo Mzee hana baya na mtu Wana wa MUSOMA vijijini tunamkubali na tunaenda kumzika Mzee wetu kwa heshima zote na mizinga kama yote

Nyumbu wewe
Kwa nyie sawa, mwamba alikimbia nchi Hadi Nyerere alipokufa akarudi, ukiwa kwenye msiba ebu waulize wabobezi kwa Nini alikimbia nchi?
 
Mafisadi wanakufa vifo vya vibaya sana. Kafia kwenye nyumba ya kutumzia wazee.
Yule wa Lupaso, alifia chooni baada ya kuzidiwa na ma grants na mavodka.
Wa Monduli yuko kwa Madiba, hana fahamu tangu mwaka jana
Huyo wa lupaso ndo nani vile
 
Kitendo cha kuhakikisha Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Musoma Vijijini kwa miaka 15 kisha wa Butiama kwa miaka Mitano (5) Hakimu Mkazi wa Zamani na Wakili wa Kujitegemea Marehemu Nimrod Elirehema Mkono unarejeshwa nchini Tanzania na kutoa Ndege ya Kubeba Mwili.

Wanafamilia, Ndugu na Jamaa na Kuagiza Serikali isimamie Shughuli zote za Mazishi yake Kijijini Kigori Busegwe Wilayani Butiama Mkoa wa Mara ni cha Kupongezwa na Kimetufariji vilivyo Wazanaki na GENTAMYCINE kwa Niaba yao nasema ASANTE SANA MHESHIMIWA Rais Samia Suluhu Hassan na Mwenyezi Mungu akubariki zaidi na akufanikishe katika Uongozi wako, Serikali yako na Familia yako.

R.I.P Uncle Nimrod Elirehema Mkono.
Leah na Mama yake wanasemaje?
 
Back
Top Bottom