Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,708
- 5,711
Sisi Kama taifa ni sehemu ya mkataba wa Montevideo on the rights and duties of statehood. Ndio maana hata Zanzibar kama sehemu ya JMT haina balozi UN au haiwezi kuingia mikataba na nchi zingine.
Dubai sio state, je ina mamlaka ya kuingia mikataba na nchi zingine? Jibu ni hapana. Maana sio state.
Kwa nini sisi kama taifa tungie mkataba na sehemu ya taifa lingine kinyume na mkataba wa Montevideo? Haya ni makosa makubwa sana. Bunge letu lina mapungufu makubwa.