Kwa mtazamo wangu, Mkataba wa Bandari una faida zaidi

Muccigang

JF-Expert Member
Apr 9, 2022
1,293
1,868
Habari za muda huu,

Niende kwenye kichwa cha thread, naona mkataba wa bandari utakua na faida nying sana mfano Kuongezeka kwa biashara ya Tanzania na nchi zingine Africa, hii na baada ya upanuzi wa bandari na kufanya meli kubwa zaid za mizigo kufika hapa hapa direct itafanya waafrika wengi nchi mbali mbali kutumia bandari yetu hivo.

Kupungua kwa bei bidhaa. Hii ni baada ya bidhaa nying kuwezwa kuingia Tanzania direct kuliko kupitia nchi zingine ztakua znakuja kwa uharaka hivo itafanya bidhaa kama simu na vitu vingine kua bei affordable.

Kuvutia wawekezaji. Hapa tuna bwawa la umeme linaloweza kuzalisha umeme mwingi huku tunabandari inayoeza kupokeka mizigo mikubwa itafanya matajiri wengi kuvutiwa na usafiri na Nishati ya bei rahisi ya Tanzania.

Wale wazamiaji ndo muda wenu huu, kama South Afrika ilivokua lango kuu la wazamiaji wa nchi ulaya so meli kubwa zkiwa znashuka sana watu weng wataweza kuzamia na kwenda kujitafutia riziki.

Kuzalisha matajiri wengi. Uingiaji mkubwa wa wawkezaji utafanya kuwe na pesa nying ambayo itafanya Tanzania kua na matajiri wengi mno wengi wametoboa baada ya kukutana na wageni.

Usafiri kua bei rahisi, hapa treni la SGR hapa bandari kubwa ya kisasa watu wataweza safirisha bidhaa kwa bei rahis magari pia yatashuka bei na mafuta pia maana usafiri wa kuyatoa huko nje utakua ni mwepesi tofaut na zamani.
Niliwahi kusikia kenya wanamajasusi ambao mara nyingi wanapambana kukwamisha mipango ya Tanzania huenda ndo hawa walio kua wakipiga kelele tangu enz za kikwete had sasa enz za mama samia

Conclusion sipo upande wowte wa chama nlikua naupinga kweli nikawaza upinzan hao hao walilalamika magu hajakubal mkataba wa mwanzo wa bagamoyo leo hii wale wale wanalalamika mama samia kasaini.
 
Habari za muda huu
Niende kwenye kichwa cha thread naona mkataba wa bandari utakua na faida nying sana mfano
Kuongezeka kwa biashara ya Tanzania na nchi zingine Africa .hii na baada ya upanuzi wa bandari na kufanya meli kubwa zaid za mizigo kufika hapa hapa direct itafanya waafrika wengi nchi mbali mbali kutumia bandari yetu hivo .

Wewe ni mtanganyika au mzanzibar.

Je umeuona huo mkataba, ukausoma na kuuelewa?
 
Mimi n matanzania halisi kwani rasilimali ngapi za Tanzania zipo na hazijabadilisha chochote sababu hazijawekewa uwekezaji mkubwa.
 
Habari,, kwa walio bahatika kusoma mkataba wa DPW & TZ,,,
Ikitokea mkataba umeanza kufanya kazi kama ulivyo,, ni faida gani tunaweza kupata kama taifa kwa ujumla na kwa mwananchi mmojammoja.....
TAJA faida hata moja unayoiona inaweza kupatikana endapo mkataba utaanza kufanya kazi...
1692690802172.jpg
 
Kitu ambacho wengi hawaelewi ni kuwa kinachopingwa sio shughuli za Dp. Suala linalopongwa vikali ni baadhi ya vipengele ikiwemo mktaka kutokuwa na ukomo halisi na serilikali yetu kutokua na haki ya ku-terminate mkataba kwa namna yoyote ile hata ikitokea Dp wakiwa wamekiuka.
 
Kitu ambacho wengi hawaelewi ni kuwa kinachopingwa sio shughuli za Dp. Suala linalopongwa vikali ni baadhi ya vipengele ikiwemo mktaka kutokuwa na ukomo halisi na serilikali yetu kutokua na haki ya ku-terminate mkataba kwa namna yoyote ile hata ikitokea Dp wakiwa wamekiuka.
Sasa kelele za nini badala ya kusilikiliza ufafanuzi wa Serikali kuhusu hivyo vipengele namna vinavyowezwa kurekebishwa na watu wana uhakika gani kuhusu huo mkataba unaozagaa mitandaoni kama ndio wenyewe au watu wamechapa tu mtaani kwa lengo la kukwamisha miradi ya Serikali ya awamu ya sita.
 
Back
Top Bottom