Kwa msomi wa leo.

nkyandwale

Member
Feb 8, 2011
64
14
:israel:Watu wote macho yote yako kwako,
Umeutangaziya umma kuwa wewe,
Ati, nawe ni msomi wa vidato hasa.

Yako nafasi uitumiye macho yaonayo,
Yatazama mwenendo ulivyo wewe,
Matunda utayaona nawe utfurahiya,

Utundu mzuru u kitabuni uwone,
Tamu yake haifananishwi na kitu,
Kama kipo ni umakini wa kimaisha,

Utapenda hutasahau raha yake,
Niliipenda shule kama mchezo,
Imeniweka pazuri watu wanitamani.

Miyaka hamsini ilipotimu,
Nikahitimu Chuwo Kikuu,
Nawe utafikiya kazana uhitimu.
 
Back
Top Bottom