Kwa mpira huu Yanga washukuru sana hawakufuzu Champions League, ingekuwa aibu ya rekodi

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,878
18,896
Yanga wangefuzu Champions League kwa kuitoa Al Hilal ndio wangepangwa hili kundi hapa chini.

Kwa Yanga hapa wangeondoka na pointi ngapi? Maana Al Ahly mwenyewe ana pointi 1 kwa mechi 2.

Capture.PNG
 
Kwanza umeonesha jinsi gani ulivyokuwa mweupe kwenye soka
1) Yanga angefuzu asingekuwepo kwenye hilo kundi kwasababu Yanga hawezi kukaa pot sawa sawa na aliyokuwepo Al Hilal kwenye upangaji wa makundi kwasababu Yanga wana point ndogo sana.

La pili ni kwamba hoja ingekuwa ina nguvu endapo hao Al Hilal wangekuwa ndio kibonde wa kundi, lakini mpaka sasa wameonesha wana quality ya kufurukuta. Basi tumia nadharia yako kwa ku substitute nafasi ya Al Hilal muweke Yanga. Haya ingeshika nafasi ya ngapi Yanga mpaka sasa?
 
Yanga wangefuzu Champions League kwa kuitoa Al Hilal ndio wangepangwa hili kundi hapa chini

kwa Ynga hapa wangeondoka na pointi ngapi? maana Al Ahly mwenyewe ana pointi 1 kwa mechi 2
View attachment 2530092
Hujui wanavyopanga makundi. Wala yanga asingeangukia ilo kundi kwa kuireplace al hilal.

Kwenye rank za CAF al hilal yuko juu sana zaidi ya yanga.
 
Yanga wangefuzu Champions League kwa kuitoa Al Hilal ndio wangepangwa hili kundi hapa chini.

Kwa Yanga hapa wangeondoka na pointi ngapi? Maana Al Ahly mwenyewe ana pointi 1 kwa mechi 2.

View attachment 2530092
Wale ni Manyani yasiyo na akili huko yaliko yanajiona kama yako Champions ndio maaana kelele ka zote. Unashangaa yanaizomea Simba kisa yamemfunga mchovu Mazembe. Hivi wewe Mwanafunzi unaye Supp unapata wapi jeuri ya kumcheka Kipanga aliyeko juu yako.
Yanga ingekua timu nzuri tungeiona Champions lkn kwakuwa ni kikundi cha Wacongo wakata viuno na Viongozi porojo ndio maana wako Ligi ya Vibonde wasituchoshe
 
Kwani shirikisho sio mashindano? Au unahisi timu zilizopo shirikisho ni timu nyepesi?
 
Wale ni Manyani yasiyo na akili huko yaliko yanajiona kama yako Champions ndio maaana kelele ka zote. Unashangaa yanaizomea Simba kisa yamemfunga mchovu Mazembe. Hivi wewe Mwanafunzi unaye Supp unapata wapi jeuri ya kumcheka Kipanga aliyeko juu yako.
Yanga ingekua timu nzuri tungeiona Champions lkn kwakuwa ni kikundi cha Wacongo wakata viuno na Viongozi porojo ndio maana wako Ligi ya Vibonde wasituchoshe
Umbumbumbu Kweli kazi!

Timu ambayo ipo namba 8 kwenye rank za CAF then unasema ni wachovu.

Mwaka jana waliishia katika stage (semi final) ambayo wewe ndio malengo yako msimu huu..

Non arabic club with most CAF trophies..

Acha kuwa underrate Tp Mazembe eti kwasababu wamefungwa na Yanga Ila ulitakiwa kuwapa credits Yanga kwa maandalizi mazuri msimu huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe huko shirikisho ulichukua kombe? hao Mazembe usha wahi wafunga hata mechi ya bonanza?
 
Umbumbumbu Kweli kazi!

Timu ambayo ipo namba 8 kwenye rank za CAF then unasema ni wachovu.

Mwaka jana waliishia katika stage (semi final) ambayo wewe ndio malengo yako msimu huu..

Non arabic club with most CAF trophies..

Acha kuwa underrate Tp Mazembe eti kwasababu wamefungwa na Yanga Ila ulitakiwa kuwapa credits Yanga kwa maandalizi mazuri msimu huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sina maana mbaya lakini mazembe msimu huu ni wachovu, hapo walioo walifikaje? Walitolewa na vibonde vipers,
 
Asingepangwa hilo kundi kwa sababu yanga angekuwa port 4 wakat al hilal amekuwa port 3
 
Back
Top Bottom