Kwa mliopitia huku, naombeni mnipe mawazo yenu

ka ww ulikuwa desa boy atakumwaga coz no need tena. na ka ulikuwa ATM atakumimina coz hakuna bum tena. ila weng mapenz yanaisha mkimaliza semista ya mwisho ni ka maigizo.
 
Ndo matatizo ya kupendana kwa ajilini ya ngono. Ina maana mahusiano yenu hamkuwai kuzungumza swala la kujenga maisha yenu ya baadae kwa pamoja. Huko mna mapenzi ya kitoto sana aisee! Toka form one hadi leo chuo, mfumo wa mapenzi ule ule???
 
Enzi hizo ilikuwa hakuna vocha, unatuma barua na posta, majibu after 4 months. Imajini!
 
Back
Top Bottom