Kwa misemo ya kisalfasa KWENYE mkutano mkuu wa CCM yale mahewa hewa itakuwa jibu kwa Mzee Kingunge

MABAKULI

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
1,754
1,642
Baada ya kusikia misemo ya maprofesa na maphd holder kwenye mkutano mkuu Dodoma, nimejua kuwa hata ile misemo ya watumishi hewa miradi hewa wanasiasa hewa barabara hewa mtakuwa mnatoa majibu kwa yule mzee mshauri wenu mstaafu kuwa CCM imeishiwa pumzi.

Sasa mnamuonyesha kuwa hewa CCM bado ipo ndani ya serikali arudi aje ahakiki au ataona huko mtaanikwa watumishiwanavyolia kusubili uhakiki.
 
BAADA YA PHD HOLDER KUSEMA TANZANIA IMEKUWA SHAMBA LA BIBI WIZARA YA KILIMO IMESEMA INATAKA KUWA WIZARA YA KWANZA KUHAMIA MAKAO MAKUU DODOMA IKAWAHI PLOT ZA DEMOSTRATION
 
UKIWAULIZA ILE RADA ILIYONUNULIWA KIPINDI KILE NA CHENJI IKARUDI INAFANYA NINI MPAKA MNATAKA NYINGINE WANASEMA ILE INAANGALIA WASIOLIPA USHURU WA MANKONTENA BANDARINI NA KUANGALIA KAMA WATOTO WA SHULE WAMEKALIA MADAWATI NA INAONA KILA KITU KIBAYA
 
Back
Top Bottom