Kwa miaka 8 tumetumia Trilioni 27 kwenye SGR na ATCL tu. Hii nchi umaskini tunajitakia wenyewe kuwa na vipaumbele vya ovyo

Kiuchumi justification ya Trilioni 27 Kwa hicho kilichofanyika ni hasara ya Karne.

Somo la Uchumi linatakiwa kuwa compulsory Vyuoni maana linawasaidia Viongozi kufanya maamuzi ya matumizi sahihi ya Rasilimali vinginevyo tutaendelea kuamua Kwa hisia,siasa na mapicha picha ila maisha yatazidi kuwa mabaya Kwa watu wengi.
Mie siasa za hii nchi zilishanishinda muda hata uzalendo ulishanitoka muda aisee.
Muhimu ugali naupata na ninaenda maliwatoni basi.
Ila kuhusu siasa za hili taifa ni kichwa cha mwendazimu.
Ili hili taifa liendelee kwanza ni kuuliwa kwa chama chenye sera duni kandamifu CHAMA CHA MAPINDUZI(CCM),pili katiba mpya na tume huru ya uchaguzi viundwe.
Sera za CCM ndio zinaiteketeza hii nchi amini usiamini.
Nchi ina sera za hovyo kwasababu ya sera za chama tawala.
Adui ni CCM.
 
Magufuli hakufanya vitu kwa kufikiria kesho bali alitaka asifiwe yeye.
Hatukuwa na sababu ya kuwekeza pesa nyingi kwenye shirika wakati wanufaika ni wachache.Hizo Tril 3.3 zilizkuwa na uwezo wa kuondoa slums zote kwenye miji mikubwa ie Dar,Mbeya,Mwanza.

Hizo pesa zingeweza tumika kupima ardhi yote Tanzania na kuipanga vizuri.

SGR haikupaswa kuelekezwa upande wa Rwanda, wale mizigo yao ni michache mno.
Tungejielekeza Congo DR hao wana mizigo mingi sana.

Ni sawa na mradi wa ujenzi wa uwanja wa mpira na arena kawe ambao jumla itakula zaidi ya bilioni 500 wakati kwa uhalisia haitarudisha kamwe
 
Kiuchumi justification ya Trilioni 27 Kwa hicho kilichofanyika ni hasara ya Karne.

Somo la Uchumi linatakiwa kuwa compulsory Vyuoni maana linawasaidia Viongozi kufanya maamuzi ya matumizi sahihi ya Rasilimali vinginevyo tutaendelea kuamua Kwa hisia,siasa na mapicha picha ila maisha yatazidi kuwa mabaya Kwa watu wengi.
Thibitisha hiyo hasara ya kwa namna gani,mana siyo kutamka tu...?
 
Ni upumbavu kuendelea kuamini eti nchi yetu ni masikini

Ni lugha ya kipumbavu ya matapeli ya ccm kama mleta uzi

Kama tumetumia Tr 27 tena ni hizo zilizoonekana, je zilizopotelea mikononi mwa maccm ni ngapi?
 
Nimeshakuwekea orodha ya valuable projects ambazo zingaweza kufanywa na hiyo pesa Kwa mda huo na zingechangia Ukuaji wa Uchumi na poverty eradication Kwa haraka.

Hakuna study zozote zimewahi onesha reli na ndege zinapunguza umaskini.

Hizo projects hufanywa wakati uchumi uko vizuri na huja baada ya kuwa na demand ambayo inakuwa imechagizwa na sekta zingine.

Tanzania tumejenga ilimradi kujenga Kwa maelezo ya hisia.
 
Magufuli hakufanya vitu kwa kufikiria kesho bali alitaka asifiwe yeye.
Hatukuwa na sababu ya kuwekeza pesa nyingi kwenye shirika wakati wanufaika ni wachache.Hizo Tril 3.3 zilizkuwa na uwezo wa kuondoa slums zote kwenye miji mikubwa ie Dar,Mbeya,Mwanza.

Hizo pesa zingeweza tumika kupima ardhi yote Tanzania na kuipanga vizuri.

SGR haikupaswa kuelekezwa upande wa Rwanda, wale mizigo yao ni michache mno.
Tungejielekeza Congo DR hao wana mizigo mingi sana.

Ni sawa na mradi wa ujenzi wa uwanja wa mpira na arena kawe ambao jumla itakula zaidi ya bilioni 500 wakati kwa uhalisia haitarudisha kamwe
Ni upumbavu kuendelea kuamini eti nchi yetu ni masikini

Ni lugha ya kipumbavu ya matapeli ya ccm kama mleta uzi

Kama tumetumia Tr 27 tena ni hizo zilizoonekana, je zilizopotelea mikononi mwa maccm ni ngapi?
 
Ni upumbavu kuendelea kuamini eti nchi yetu ni masikini

Ni lugha ya kipumbavu ya matapeli ya ccm kama mleta uzi

Kama tumetumia Tr 27 tena ni hizo zilizoonekana, je zilizopotelea mikononi mwa maccm ni ngapi?
Uchumi haukuzwi Kwa Imani na upuuzi mwingine kama huo Bali Kwa mipango thabiti na sio miradi ya kupigia pesa Wanasiasa ila inaacha umaskini Kwa watu.
 
Uwekezaji wa hivi hauwezi kuondoa umaskini na Huwa unafanyika.Nchi ikishapiga hatua kubwa sio ikiwa maskini kama Tanzania.

Hebu tutajie nchi iliopiga hatua na kuondoa Umasikini bila ya kutumia huo Uwekezaji unaoukataa.

Wewe huwa ni kinara wa Kusema "Nchi iendelee kukopa" Unakopa kufanya nini?

Umeorodhesha hay yote chini kana kwamba hayafanyiki, kana kwamba hayatachukua matrillioni!
Kufungua Barabara Mpya za lami Nchi nzima zaidi ya km 10,000.

2.Kupata Uhakika wa Umeme Kwa zaidi ya megawatt 5,000

3.Kupeleka Maji ya uhakika Kila Kijiji na Kila Mji Tanzania nzima (Water Grid)

4.Kuanzisha Mashamba Makubwa ya Kilimo Cha Umwagiliaji

5.Kujenga Kituo Cha Afya Kila Kata,Zahanati Kila Kijiji na Hospital Kila Wilaya,Mkoa na Kanda.

6.Kujenga Miundombinu ya Shule kuanzia za awali Hadi Vyuo Vikuu Kila Mkoa.

7.Kufabya Upanuzi wa Bandari zote kubwa za Bahari na Maziwa.

8.Ku upgrade reli ya Kati kutoka meter Gage na kuwa na Standard kama ya TAZARA.

Yaani kiufupi, umezunguka kote huko ili uendeleze propaganda zako za kufukuza makaburi-bisha

Kweli,
Bado hujasema dadeki 🐼
Mtashindwa tu.

Hapa kazi tu na ziendelee, hakuna jinsi.
 
Uchumi haukuzwi Kwa Imani na upuuzi mwingine kama huo Bali Kwa mipango thabiti na sio miradi ya kupigia pesa Wanasiasa ila inaacha umaskini Kwa watu.
Mipango ipi inayokosa ukwapuaji wa kodi zetu huko ccm?

Kwa mlivyo maccm, hiyo bajeti iliyotumika na kufikia tr28, hata ingepelekwa wapi, bado kusingelikuwa na unafuu hata kidogo zaidi ya kuwa na maisha magumu zaidi
 
Hebu tutajie nchi iliopiga hatua na kuondoa Umasikini bila ya kutumia huo Uwekezaji unaoukataa.

Wewe huwa ni kinara wa Kusema "Nchi iendelee kukopa" Unakopa kufanya nini?

Umeorodhesha hay yote chini kana kwamba hayafanyiki, kana kwamba hayatachukua matrillioni!

Yaani kiufupi, umezunguka kote huko ili uendeleze propaganda zako za kufukuza makaburi-bisha

Kweli,

Mtashindwa tu.

Hapa kazi tu na ziendelee, hakuna jinsi.
Wewe acha ujinga,umewahi sikia Sgr Botswana au Gabon nk?

Hiyo miradi hakuna siku itakuja kuleta hasara,hujifunzi hata hapo TAZARA licha ya kujengwa kwenye zone inayolisha Dar Port Kwa 70% lakini ni hasara tupu sembuse huko maporini mnakojenga? Mtaishia kupigia picha na kuchukua Kodi Ili Kuendesha hicho ki Sgr.
 
Mipango ipi inayokosa ukwapuaji wa kodi zetu huko ccm?

Kwa mlivyo maccm, hiyo bajeti iliyotumika na kufikia tr28, hata ingepelekwa wapi, bado kusingelikuwa na unafuu hata kidogo zaidi ya kuwa na maisha magumu zaidi
Nimeshaeleza hapo kwenye mada Juu.

Linganishi Sasa matumizi ya 27 Trilioni kwenye Sgr vs kama ingetumika kwenye maeneo tajws hapo Juu wapi Uchumi ungekua na kuleta pesa zaidi?
 
Nimeshakuwekea orodha ya valuable projects ambazo zingaweza kufanywa na hiyo pesa Kwa mda huo na zingechangia Ukuaji wa Uchumi na poverty eradication Kwa haraka.

Hakuna study zozote zimewahi onesha reli na ndege zinapunguza umaskini.

Hizo projects hufanywa wakati uchumi uko vizuri na huja baada ya kuwa na demand ambayo inakuwa imechagizwa na sekta zingine.

Tanzania tumejenga ilimradi kujenga Kwa maelezo ya hisia.
So Marekani walivyoamuaga kulaza reli nchi nzima,1800 hadi 1850s,
Halafu kutangaza barabara 1900s,walikuwa ni wapuuzi....?
 
Nimeshaeleza hapo kwenye mada Juu.

Linganishi Sasa matumizi ya 27 Trilioni kwenye Sgr vs kama ingetumika kwenye maeneo tajws hapo Juu wapi Uchumi ungekua na kuleta pesa zaidi?
Mkuu! Unania kweli kuona watoto wetu na watoto wa watpto wetu wakifurahia uchumi mzuri wa nchi yao Tanzania!

Anza kuichukia ccm

Nakuhakikishia hivi, nchi yetu hii, inaouwezo mkubwa wa kufanya hayo mambo mradufu zaidi ikiwa tu, ccm tutaikataa
 
Back
Top Bottom