Kwa Mazungumzo ayafanyayo sasa Msemaji wa Yanga SC Clouds FM kumbe 'Skudu' kasajiliwa kwa Burudani na siyo kusaidia timu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,647
109,036
"Tumewaletea wana Yanga SC Mchezaji ambaye hatakama hatofunga Goli ila atahakikisha Mashabiki Wote Uwanjani wanaburudika kwa Maufundi yake ya Kuchezea Mpira" amesema Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe aliye Studioni sasa Spoti Extra ya Clouds FM.

Haji Manara (Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC) hakukosea pale aliposema kuwa Yanga SC nzima ( kote ) wenye Akili ni Wawili tu Rais Mstaafu Kikwete na Baba yake Mzee Manara.

Vile vile kumbe aliyekuwa Kocha wao Mkuu ambaye kawadai Pesa zake kwa muda mrefu hadi Kuwashtaki FIFA Luc Eymael ( Raia wa Ubelgiji ) hakukosea aliposema (ipo YouTube) kuwa Mashabiki wa Timu fulani (GENTAMYCINE nimeisahau kwa sasa) wako kama Sokwe, Mbwa na Nyani.

Haya mmeshaambiwa huko kuwa hata kama mtatolewa Mechi ya Kwanza au ya Pili Klabu Bingwa ( CAFCL ) msihoji wala Kukasirika kwani tayari Uongozi wa Yanga SC umewaletea Kombe lenu jipya liitwako SKUDU MAKUDUBELA CUP.

Kazi kweli kweli.....!!
 
Hii ndio Jamiiforums, na hizi ni facts.

Bado najiuliza hapo kwenye nyani na wenye akili unaandikwa utani au ni akili ya mtu anaamini hivyo.
 
"Tumewaletea wana Yanga SC Mchezaji ambaye hatakama hatofunga Goli ila atahakikisha Mashabiki Wote Uwanjani wanaburudika kwa Maufundi yake ya Kuchezea Mpira" amesema Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe aliye Studioni sasa Spoti Extra ya Clouds FM.

Haji Manara (Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC) hakukosea pale aliposema kuwa Yanga SC nzima ( kote ) wenye Akili ni Wawili tu Rais Mstaafu Kikwete na Baba yake Mzee Manara.

Vile vile kumbe aliyekuwa Kocha wao Mkuu ambaye kawadai Pesa zake kwa muda mrefu hadi Kuwashtaki FIFA Luc Eymael ( Raia wa Ubelgiji ) hakukosea aliposema (ipo YouTube) kuwa Mashabiki wa Timu fulani (GENTAMYCINE nimeisahau kwa sasa) wako kama Sokwe, Mbwa na Nyani.

Haya mmeshaambiwa huko kuwa hata kama mtatolewa Mechi ya Kwanza au ya Pili Klabu Bingwa ( CAFCL ) msihoji wala Kukasirika kwani tayari Uongozi wa Yanga SC umewaletea Kombe lenu jipya liitwako SKUDU MAKUDUBELA CUP.

Kazi kweli kweli.....!!
Jifunze matumizi ya herufi kubwa na ndogo. Kuna wachezaji wa aina kama ya Ronaldinho, hata wasipofunga, wanatoa burudani ya kutosha.
 
Inaonekana skudu ame trend sana
 
Attachments

  • 61AE83E5-2215-4361-946B-9112318C8576.jpeg
    61AE83E5-2215-4361-946B-9112318C8576.jpeg
    867.8 KB · Views: 3
Yuko sahihi sana.wengine wapenda kuangalia skills.hawashabiki timu yoyote.dk 80 anaingia kuburudisha
 
Back
Top Bottom