Kwa matokeo haya, umaarufu uko wapi?

Huyu Jamaa nina mashaka sana na uwezo wake wa kufikiri,au ndio kufikiri kwa kutumia masaburi huko,unajaza kwenye blog yote wewe tu,acha hizo hata kama ni mfurukutwa jaribu kuwa na akili kidogo au we ni nepi nini?

Kuna mwenzako ameisha kiri kuwa CDM hamko sawa vichwani kuanzia jana, sasa unategemea tukusaidiaje sasa !
 
Yamekuwa hayo tena? Ukizoea vya kunyonga, vya kuchinja utaviweza??? Uje basi ujitambulishe kwa wazaizi wangu, lakini mbona huna hata moustache!!!

Usijali ntakuja na moustache utauona ! umechagua dume la mbegu la JF

Ushindi wa alfu 26 na alfu 23 si ushindi wa kishindo..Ipo siku mtakaa sawa na Uvundo wenu..
 
Ushindi wa alfu 26 na alfu 23 si ushindi wa kishindo..Ipo siku mtakaa sawa na Uvundo wenu..

Akili zenu wote haziko sawa tangia jana, na wengine wamekiri juu ya hilo , nadhidi kuthibitisha juu ya hilo. Mbona mmechanganyikiwa sana na igunga hivyo kulikuwa na nn special ?
 
ZItto ana group ndani ya Chadema? Lipi? Nani wafuasi wake? Wanashika nafasi zipi? Nijuavyo mimi, Zitto hana wafuasi na hata kama anao, na kwamba wanataka chama kisiende mahakamani, basi huyo atakuwa sio Chadema bali ni kibaraka wa CCM.

Kwa vyovyote vile, uchaguzi wa Igunga hauwezi kuitwa uchaguzi huru. Tume ya uchaguzi, serikali na jeshi la polisi limeuvuruga uchaguzi huu kwa kiwango kikubwa. Watu wametishwa. Wamebaguliwa. Kampeni za kidini zimefanyika.

Inawezekana nikawa siipendi Chadema, lakini katika hili siwezi kuisifia CCM kwa kuwa inaonekana inataka kuipeleka nchi katika vita ya halaiki. Kampeni zote mbaya imeshushiwa Chadema, mara eti chama cha wakiristo, chama cha vurugu, chama kinachotaka amani isiwepo.

Lakini wananchi wanaonekana hasikii keleke zao, kwa kura walizoambiwa wamepata inaonyesha wananchi wanaiunga mkono Chadema, tena kwa kiwango kikubwa. Wenzangu CCM acheni unafiki, tujiangalie upya.
 
Tangia lini ww ukawa mwana ccm, km ndivyo nakushauri kadi yako irudishe ujitoe. Na tatizo ni uelewa wako , viongozi wote waliokwenda igunga wa serikali wana kofia mbili , ya serikali na chama , ni haki yao kukitetea chama chao. Na kama alivyo kuwa rais anakofia 2 pia, mbona hatuwahi kuona mnamlalamikia pale ambapo anafanya kazi ya kichama ? . Kubalini kushindwa , jipangeni upya, na ccm ni chama kubwa !
 
Wakati juzi trh 2.10.2011 ukifanyika uchaguzi wa Mbunge Jimbo la Igunga, vile vile kulikuwa na chaguzi 22 za madiwani zilizokuwa zinaendelea sehemu mbali mbali.

Katika uchaguzi wa Igunga , sina la kusema kwani kila mmoja wet anajua kilichofanywa na CCM dhidi ya jeshi zima CDM na wakiwa na silaha zote ili hali wenzao CCM walipeleka jeshi dogo ila lililotumia mbinu na akili nyingi.

Na jeshi bora si lile lenye uwingi wa watu bali lenye kutumia akili nyingi na mbinu (strategy ) zilizo kwenda shule. Katika matokeo ya udiwani CCM kilishinda kata 17 zikiwamo zile ambazo kuna ngome ya CCM kama tarime, rorya na moshi, ambapo chadema kiliambulia 5 tu pamoja na kutumia viongozi wao mbali mbali wa kitaifa km Lissu, Mbowe, Zitto kuwapigia chepuo wagombea wao.

My take :

Kama hali iko ni hivi basi ile falsafa ya cdm ya nguvu ya umma imeanza kuishiwa nguvu, kwani umaarufu wao umeanza kuporomoka kwa kasi ya ajabu.

Fanya uchambuzi yakinifu kwanza usilete mambo ya ushabiki wa Simba na Yanga hapa.

Tuambie kwenye hizi chaguzi
Je nafasi hizo zilikuwa zinashiliwa na chama gani kabla ya uchaguzi wa juzi?
Je, uchaguzi uliopita kila chama kilichoshiriki kwenye uchaguzi kilipata kura na asilimia ngapi?
Je, uchaguzi huu wa sasa kila chama kimepata kura na asilimia ngapi?

Ukijibu haya maswali tena kwa data sahihi then utaweza kutuambia ni chama gani kimeporomoka. Otherwise utakuwa unaandika hoja ambazo hasina mshiko.
 
Ww upo tanzania au ndio wale mliochanganyikiwa jana kwa matokeo ya igunga ambao mpaka sasa akili zao hazijakaa sawa ? kwani wengi wamekiri dhoruba la jana akili za wana cdm + viongozi wao haziko sawa na ww ni mmoja wao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom