Kwa mara ya kwanza Tanzania kuwekwa katika M-bet Nimemwekea na dau Tanzania ashinde Nasubiri Mpunga tu

Bob umeweka 2k then unatarajia 100k kwa odds 11???

But kama TZ wakidraw njoo PM nikurudishie stake yako
 
Hiyo game mi naweka droo nile 60,000 kwa elfu 10.Tanzania haiwezi kushinda match hiyo napia mkeka mwingine nitaweka 10elfu kwa algeria kushinda.
Kimsingi Algeria wanataka kupanda viwango kupitia mgongo wa Tanzania na wanajua Tanzania hawawezi kushinda.
Mzee umepoteza!
 
UKIINGIA M-BET] SASAHIVI UTAKUTANA NA MECHI YA ALGERIA vs TANZANIA
sasa ipo hivi!
ALGERIA win 1.17
Droo 6.00
TANZANIA win 11.50
Tanzania akishinda napokea 1,000,00 laki moja tz!!
WhatsApp Image 2018-03-22 at 11.08.01.jpeg
 
Ni rahisi Ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko Tanzania kumfunga au kutoa sare na Algeria
Nilimshukuru ndugu yetu in advance mchana kwaniaba ya mbet kwa kutuchangia, hii timu niliacha kuiangalia muda sana, maana sipendi kufungwa kila siku
 
Back
Top Bottom