Kwa maoni yangu huu ni ubinafsi

Mzee Saliboko

JF-Expert Member
Jan 29, 2018
1,209
888
Nazungumzia kumpata mgombea kwenye vyama vyetu vya siasa. Kitendo cha kutuigizia kuwa wanachama wanamkubali mgombea mmoja 100% Ni uongo na unafiki.

Tuanze sasa kubadilika na kuruhusu watu wote wenye sifa kuchukua fomu za kugombea urais kila uchaguzi unapofika. Tusiwe wachoyo.

Ahsanteni.
 
Ni utapeli kama utapeli mwingine
 
Back
Top Bottom