Kwa malengo haya Hillary Clinton pitia Tanzania uwaelimishe viongozi wetu ''ubaya wa wachina ''

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
MALENGO YA UJIO

1. To swipe at China, which eclipsed the US as Africa's biggest trading partner three years ago.

2. To stand up for democracy and universal human rights even when it might be easier to look the other way and keep the resources flowing."

3. Resource-hungry China is often criticised for turning a blind eye to dictatorships and internal repression in its partnerships with African

4. To compete with China and try to limit China's influence, business making and political power in Africa.

5. To discuss security issues with Sall after a coup in neighbouring Mali opened the way for al-Qaida-linked Islamist militants to seize the country's northern region. This has added to US concerns about militant groups such as Somalia's al-Shabaab and Nigeria's Boko Haram.
 
Kweli baba Riz-one anadharauliwa na anapuuzwa!
Kila siku kiguu na njia ughaibuni kuombaomba (Matonya) ndio maana bi. Clinton anapita kwa majirani zetu Uganda, Kenya na Malawi. Hana la kuzungumza la maana na Dhaifu!
Heshima ya kumtembelea mwenzako (kila siku!) naye akutembelee!
Magamba mashaurini aache kujiaibisha; sisi ni wa kuombwa sio wa kuomba
 
Raha ya Paka kulalia mkia wake na raha ya baba Riz 1 nikusafiri,haijalishi au anajialika mwenye....
 
kama tuna akili tunaweza kuwatumia vizuri wamarekani na wachina kwa faida yetu badala ya wao kututumia.Kumbuka vita vyao kubwa ni kutaka kumiliki rasilimali zetu hivyo ugomvi wao hawatuhusu.Ni kuwachezea kiakili baba wa taifa alitumia sana mtindo huu wakati wa vita baridi maana kila nchi ilikuwa inajipendekeza kwetu ili mradi wapate sapoti yetu lakini tukiwa mazuzu tutaishia kuneemesha nchi hizo afadhali ya mchina mmarekani hana urafiki wa kweli
 
Mkuu ami i nakuambia, China na Amerika watatutumia kama tambala la deki, hatutovuna chochote kutoka kwao.
Ukifanya urafiki na Mataifa makubwa sana Ulimwenguni wakati wewe ni Taifa changa sana, utaishia kutumiwa tu kama kandambili.
 
kumbuka huyu manyemuita baba wa taifa though na prefer hayati Mwalim Julius kambarage nyerere ni rafiki mkubwa wa china. Nyerere siasa zake alijifunzia kutoka kwa chairman mao tse dong " ujamaa na kujitegemea" ilifika kipindi hadi walitaka walete wanawake wa kichina tanzania kuwe na intermarriage .. wakatutengenezea reli.. kwanini nyerere hakukimbilia kwa wazungu!.. kwanini nyerere aliabudu uhusiano wetu na wachina ..? ukifika china "binafsi nimefika" mchina akikuuliza watoka wapi ukimwambia tanzania anafurahi na kusema nyinyi ni marafiki zetu wazuri sana ..

sijaona ubaya wa wachina ... zaidi ya kutusomeshea vijana wetu kila mwaka kupitia chinese scholarship council mamia ya watanzania wanafaidika.. sijasikia wazungu wakifanya hivo .. zaid ya kuingilia siasa zetu za ndani na kutoa misaada ya masharti ... mara haki za mashoga... na upumbavu mwingi tu
 
MALENGO YA UJIO

1. To swipe at China, which eclipsed the US as Africa's biggest trading partner three years ago.

2. To stand up for democracy and universal human rights even when it might be easier to look the other way and keep the resources flowing."

3. Resource-hungry China is often criticised for turning a blind eye to dictatorships and internal repression in its partnerships with African

4. To compete with China and try to limit China's influence, business making and political power in Africa.

5. To discuss security issues with Sall after a coup in neighbouring Mali opened the way for al-Qaida-linked Islamist militants to seize the country's northern region. This has added to US concerns about militant groups such as Somalia's al-Shabaab and Nigeria's Boko Haram.
US kazi yake ni kueneza vifo tu na ugaidi duniani. Hiyo ndio kazi ya CIA na AFRICOM.

Angalia wameifanya nini Libya. Unawaondolea watu shibe, unawaletea domo-krasia, vifo, umasikini,ombaomba na ukosefu wa madawa? Pia unawaibia dola bilioni 160 halafu unawapa msaada wa kujenga domo-krasia dola milioni 170?

US yenyewe ni kupe tu. Link State Capitalism, Hubris, And What China Owes Us - Forbes

Link Debunking the Myth of Freedom and Democracy in America with Facts and Overseas Experiences

Link https://www.jamiiforums.com/interna...lioni-20-kwa-africa-pigo-kwa-us-na-ulaya.html
 
Back
Top Bottom