Rubo Motors Tanzania
Member
- Jul 31, 2022
- 56
- 13
- Thread starter
- #61
Kweli kabisa mkuu halafu bei nzuriMchina kamaliza soko la scania na fuso mende, acha gari new brand ni chuma unapiga miaka mitano haijapata shida yoyote service na tayiri tu.
Kweli kabisa mkuu halafu bei nzuriMchina kamaliza soko la scania na fuso mende, acha gari new brand ni chuma unapiga miaka mitano haijapata shida yoyote service na tayiri tu.
Bei ni poa kabisa labda chagamoto litokee kwenye vipuli vyake.Kweli kabisa mkuu halafu bei nzuri
Kwa sasa vipuli vipo vya kutosha mkuu maeneo mengi nchiniBei ni poa kabisa labda chagamoto litokee kwenye vipuli vyake.
Zipo njema mno pia zina ngaoDuùuu dump za ukweli
China ndio mpango mzimaaa
Wadanganye hizo mburukenge zinaogopa milima mno hakuna gari hapoMchina kamaliza soko la scania na fuso mende, acha gari new brand ni chuma unapiga miaka mitano haijapata shida yoyote service na tayiri tu.
Mara ngapi?Mchina aanze kututengenezea gari ndogo sasa
Hiyo inayoogopa mlima labda ni mbovu ndugu, Howo zinakwea mlima bila shida na zinakua na mzigoWadanganye hizo mburukenge zinaogopa milima mno hakuna gari hapo
Inamaana hamuoni swali languNje ya mada kwanini hizi bus za mikoani zina piga kelele kwenye kuweka gia