Kwa kweli Nape kazi aliyopewa imemshinda mapema sana asipoangalia mbele atakosa mvuto.

Kaseko

Senior Member
Feb 15, 2011
160
32
kila siku chadema chadema sisi vijana hatutaki malumbano ya kisiasa tunataka vitendo tu malumbano baada sasa hata kazi aliyopewa na ccm kuwavua magamba wenzie imeishia wapi? Nakufuatia ahadi hewa za jk huyu kijana naona kalewa posho za ccm, vuvuzela la ccm wenzie wamemwambia kelele hawataki sasa kahamia chadema ataweza kweli? Kama mvua ya masika ilishndwa yeye umande ataweza?
 
Back
Top Bottom