Kwa joto hili Dar sio sehemu ya kuishi binadamu

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
Huu ndo ukweli, ukitaka kuamini lala ndani mchana kukiwa hujawasha feni au kiyoyozi au kukiwa hakuna umeme ndiyo utaamini maneno yangu

Hili jiji ni vile wengine wanajikuta wamo na kutafuta hera tu ila sio.mahara pa kuishi watu

Najiuliza miaka ya kale enzi hizo wazaramu kabla hata umeme kuja wenyeji walikua wakiishi vipi bila umeme feni au chochote mahana kuna joto kama kuzimu
 
Huu ndo ukweri, ukitaka kuamini lala ndani mchana kukiwa hujawasha feni au kiyoyozi au kukiwa hakuna umeme ndo utaamini maneno yangu

Hili jiji ni vire wengine wanajikuta wamo na kutafuta hera tu ila sio.mahara pa kuishi watu

Najiuriza miaka ya kale enz hizo wazaramu kabla hata umeme kuja wenyeji walikua wakiishi vipi bila umeme feni au chochote mahana kuna joto kama kuzimu
UKWERI VIRE UNAJIURIZA huku ukiwa umezoea kuishi kwenye BALIDI, ndo hivyo hivyo tuishio Dar TUNAJIURIZA unawezaje kuishi kwenye FLIJI?
 
ukweri, vire, hera, najiuriza


ungekua karibu ningekukata kofi
Badala ya kumzaba makofi si ungenizaba tu mimi baby?

Bcoz it's a privilege to be slapped by you. Just imagine after the second slap I hold your hand firmly and push your head on my chest and let it rest on the bosom and holding you tight and gently while enjoying the heartbeat.

Would you like that?

Please say Yes am on my fuking bended knees crossing my fingers tightly.

Please say yes!
 
Zamani miti ilikua mingi mno hata jito halikuwepo.

Tabata miaka kadhaa nyuma ulikua huhitaji feni ila sasa hivi bila feni hulali.
Watu wamejengal mno, misitu imekatwa sana.

Mwaka 2016 nilienda kinyerezi shule, unaingia ndani ndani kidogo, nilikuta watu wanatumia blanckets kabisa, miti kibao upepo kama wote, jioni baridi kabisa na ni dar hii hii, sijui kwa sasa kukoje kule.
 
Back
Top Bottom