Kwa jinsi UVCCM na BAVICHA walivyo Kimya ni dhahiri kundi kubwa la Vijana halijihusishi na Siasa. Kundi hilo ni la kuliogopa sana!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,018
142,058
Wakati wa Nyerere alihakikisha Vijana Wote wanaingizwa katika Siasa kupitia mifumo mbalimbali Ili iwe rahisi kuwadhibiti ndio Mbowe akapewa jukumu la Disco na John Komba akapewa Kwaya na Maigizo

Kadhalika Vilabu vya mpira wa miguu na netball

Watu wazima palikuwepo Jazz band mfano Tancut Almasi, UDA Jazz, Bima Lee, DDC Mlimani Park( Controller), Juwata, Vijana Jazz Air Pambamoto nk.

Zama hizi kundi kubwa sana la Vijana limejikita kwenye Kamari na Kubet, Ogopa sana Hili kundi

Mlale Unono 😃!
 
Back
Top Bottom