Kwa jinsi baadhi ya watu walivyo kuwa slow hapa jukwaani, laiti kama ningefanya nao " kazi" enzi zangu za ushetani basi wengi wao wangekufa

Statue of limitations kwa makosa ya jinai hapa Tanzania hamna. Unaweza ukajitapa kuwa ohh nilikuwa sijui nani.Watu wakafuatilia ukawa in deep shit.Punguza kuandika ujinga
 
Ww Joannah kakutoa jasho mpaka umemuanzishia thread..mm nimekuuliza tu ulikua unafanya uhalifu gani wakati ulikua huwapendi wahalifu..acha uongo hujawahi kufanya uhalifu..ulifanya na kina nani? Kama unakaa magomeni basi ulikua unachukua story za kina rama dodo unatuletea hapa
Ndio maana nimekwambia wewe ni kilaza wa kwenda.

Mtu smart anajua kabisa meseji yangu kwenye Uzi wangu hiyo kwenye paragraph ya mwisho kabisa. Lakini kwa kuwa wewe ni kilaza huwezi kuelewa mkuu. So boring.

Huyo Joanna kakimbia mwenyewe kwenye Uzi. Na wala sikuwa NAMZUNGUMZIA yeye. Joanna ni mtot
Ninakushukuru Baba Bwana wa mbingu na nchi kwa maana umenikombea kwa damu yako ya thamani. Nikisoma mara zote mtu anapohadithia historia mbaya nyuma na kukiri kwamba amebadilika. Napata furaha sana kwa maana Mungu ananguvu sana ya kutubadilisha.
ur a slow learner
 
Statue of limitations kwa makosa ya jinai hapa Tanzania hamna. Unaweza ukajitapa kuwa ohh nilikuwa sijui nani.Watu wakafuatilia ukawa in deep shit.Punguza kuandika ujinga
ur a slow learner
 
Statue of limitations kwa makosa ya jinai hapa Tanzania hamna. Unaweza ukajitapa kuwa ohh nilikuwa sijui nani.Watu wakafuatilia ukawa in deep shit.Punguza kuandika ujinga
Yani umeshindwa kweli kupata msg yangu kwenye Uzi wangu? Hiyo sheria yako umesoma kwa Mgongo Fimbo au Mugeta Education Center?
 
Back
Top Bottom