Nyanya mbichi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 3,716
- 2,207
Napata shida sana kuelewa kwa nini inakuwa hivi.
Bajeti inasomwa inachangiwa wenye kuiunga mkono wanaiunga na wenye kuipinga wanaipinga
mimi sio mwanachama wa CHADEMA ila napenda sera zao nyingi na Mbunge au kiongozi (LEADER) mmoja mmoja ingawa Shibuda type siwapendi.
Tatizo langu ni pale mnapopinga kuipitisha ( GENERAL BUDGET) inayosomwa na waziri wa fedha na zile bajeti ndogondogo za wizara
zinazosomwa na Mawaziri wenye dhamana. Kwa nini mnazipinga then mnazichangia na kuomba muwekewe mafungu ya fedha kwa ajili ya maendeleo ya majimbo yetu?
Kwa nini msingesusa moja kwa moja kuchangia hoja zenyewe?