Kwa hili siyo siri wanawake mnakera

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,958
7,512
Mnapenda kukaa seat za dirishani kwenye mabus na mkikaa mnafanya vioo kama mali yenu,hamna tena hewa ni full kufunga,y?
 
images
 
Utakuta wanaong'ang'ania windo wengi wao hua wako NASA sometyms akihitaji kubadili zana za Nasa, inakua cmpo kwake kudampu waste product! Akikaa mwanzoni akakuomba wewe uliekimbilia windo umpokee hizo zana umdapie utamtendea haki?
 
Muda mwingine ujumbe unamfikia asiye na hiyo tabia na mwenye tabia hiyo anaendelea kuifanya!
Mnapenda kukaa seat za dirishani kwenye mabus na mkikaa mnafanya vioo kama mali yenu,hamna tena hewa ni full kufunga,y?
 
Duh. Hao wanawake wa kwenu kiboko. Wewe kabila gani kakangu? Manake.nakupatoa picha, sie huku kwa wamang'ati tunajua kujihifadhi.

Back
Top Bottom