kikaragosi
Senior Member
- Nov 14, 2010
- 112
- 10
Mimi nimebahatika kufanya kazi ya sensa hapa jijini Dar japo nililoshuhudia Makarani wengi wamepachikwa na wametumia majina c yao cz wamefoji Elimu hivyo wengi hawawezi kazi na wengine wamekimbia sasa cjui uzembe wa NANI. Jambo baya zaidi jana liambiwa leo kuna watu wanaenda kufanya interview ya kuingiza DATA baada ya SENSA nikauliza walitangaza kazi popote jibu lililopata ni kujuana,kwa bahati zuri katika kuuliza kwangu na marafiki zangu wawili wamepata hiyo dili na wao wamepata coz ya kujuana maana ina posho nyingi,Je kwa hali hii ya mambo ya kujuana na kupeana bila kutangaza hizo nafasi ili mpate wenye sifa zuri haswa waliosomea mambo ya computer ni kazi bure lakini ingekuwa na posho ndogo hapo mngeitaji watu wengne mbona ya sensa mlitangaza maana watoto wao na ndugu zao wasingeiweza kusiliba madodoso haswa maswali marefu shingo zingeuma acha kutembea juani lakini nyepesi wanapeana wenyewe tena kwa USIRI mkubwa.MLIOPO MADARAKANI ndo mnaharibu nchi mpka katika mambo muhimu kama haya yenye manufaa ya nchi.