Kwa hili nalo nawasubiri

Mzururaji

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
1,559
1,272
Leo imetangazwa katika vyombo vya habari kuwa kanisa katoliki limetoa waraka wa mwongozo kwa waumini wake kuhusiana na katiba huku likihoji madaraka makubwa ya rais wa JMT niwajuavyo mimi hawa wenzetu watoto wa mke mdogo nao watatoa wakwao baada ya kuona kanisa limetoa
wakati hayo tukitegemea yatatokea wakristo kadhaa wamegoma kula nyama ya mnyama yoyote ambae kachinjwa na muislam na kusema katika kitabu kitakatifu cha biblia hakuna sehemu inayo sema nyinyi wakristo mtachinjiwa wanyama wenu na waislam hivyo kusababisha mtafaruku kijijin hapo miongon mwa jamii hivyo hali hii imewapa wakati mgumu wauza nyama(bucha) walio wengi nilipo muhoji mama mmoja wa kikiristo kwanin wanasimamia huo msimamo amesema waislam wamefanya kuchinja kama njia ya kujipatia kitoweo kwani wamekuwa wakidai sehem ya nyama ya mnyama aliye mchinja kwa mfano akichinja kuku hudai kichwa shingo miguu pamoja na paja moja hayo ndo yaliopo kijiji hapo wakuu
my take
tanzania tuitakayo yaja
 
Back
Top Bottom