Mambo ya msingi ambayo anatakiwa asimame mbele ya watanzania na kutoa tamko la nchi,mfn posho za wabunge yeye anakaa kimya na ikulu ndyo inamsemea.Lakini kuhudhuria kwenye vilio hadi vya makada wa ccm hatumi wawakilishi toka ili wamuwakilishe.Urais ni taasisi so movement yeyeyote anayofanya inahusu idara nyingi mno na shughuri nyingi zinasimama.Utafikiri kipindi cha Mkapa watu walikuwa hawafi bana aahhh inakera sna.