kwa hili hongera sana ccm,hadi hapo watakapojitambua!

white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
8,314
13,279
hatimaye wana igunga waanza kuona cha mtema kuni kutokana na daraja la mbutu,ambalo wakati wa kampeni wa uchaguzi mdogo wa igunga waliahidiwa kuwa lingejengwa ndani ya siku 90!hadi sasa hakuna kitu wa2 wanashindwa kuvuka,eti wanataka kuandamana!ni ujinga wao acha wajute si waliwapa kura wenyewe,na bado hadi hapo wananchi watakapoacha ujinga,c walidanganywa na mahindi.
 
Poleni sana wana Igunga, najua kuna rafu ilichezwa wakati wa uchaguzi lakini pia baadhi yenu mliipigia ccm kura, mi nadhani ni wakati wa kuvuna mlichopanda ili iwe fundisho kwenu na wengine wote wenye tabia kama zenu
 
hatimaye wana igunga waanza kuona cha mtema kuni kutokana na daraja la mbutu,ambalo wakati wa kampeni wa uchaguzi mdogo wa igunga waliahidiwa kuwa lingejengwa ndani ya siku 90!hadi sasa hakuna kitu wa2 wanashindwa kuvuka,eti wanataka kuandamana!ni ujinga wao acha wajute si waliwapa kura wenyewe,na bado hadi hapo wananchi watakapoacha ujinga,c walidanganywa na mahindi.
Kwa hali ilivyo hata kama Igunga wangechagua MB wa chama kingine daraja lisingejengwa ndani ya siku 90. La msingi ni kuchagua Chama wakati wa uchaguzi mkuu kinachoeleza ahadi na utekelezaji kipindi cha miaka 5 na kuwe na mid-term review itakayowezesha wapiga kura kutengua uamuzi wao wa awali kuchagua chama husika. Kimantiki Mb wa chama nje ya CCM hawezi kujenga daraja kama serikali iliyopo sio ya Chama chake. Hata awe Sangoma.
 
Mpaka hapo watz tutakapo badilika na kuwafanya wanasiasa wawe liable kwa ahadi watoazo. Naamini hofu itajengeka.
 
hatimaye wana igunga waanza kuona cha mtema kuni kutokana na daraja la mbutu,ambalo wakati wa kampeni wa uchaguzi mdogo wa igunga waliahidiwa kuwa lingejengwa ndani ya siku 90!hadi sasa hakuna kitu wa2 wanashindwa kuvuka,eti wanataka kuandamana!ni ujinga wao acha wajute si waliwapa kura wenyewe,na bado hadi hapo wananchi watakapoacha ujinga,c walidanganywa na mahindi.

ni kweli mkuu,ccm wanafanya vizuri sana ili wasio na akili wajifunze kwa vitendo,safi sana wanatiwa adabu.
 
Katika kipindi cha uchaguzi hapo igunga mi nilikuwa nasoma umoja sec, ambapo mimi na wanafunzi wenzangu tulifanya juhudi kubwa sana kuwapa elimu ya uraia na majority wakaelewa ubaya wa CCM but cha kushangaza siku ya kula wakapigia ccm na kuacha chadema so hata haya yote yanayowapata leo inabidi wayavumilie koz ndo matunda ya kuchagua chama chenye ahadi hewa.
 
Nyie watu nyie ! Ikishinda ccm imeiba kura !
Wakilalamika wananchi eti ujinga wao kuipa kura ccm !
Muelewekaje sasa
 
Back
Top Bottom