Kwa hili Dr. Magufuli amepoteza kura za watanzania

Rais analalama,mawaziri wanalalama,wananchi tufanyeje,mfyuuuuuuuu maccm.
Lowasa ndo mziki unaochezeka kwa sasa,peopleeeeeees.
 
Kiukweli,hoja yao ijengwe kwenye mambo ambayo huko nyuma hawakuwahi kuyazungumza.Waache desturi ya kutozungumza mambo ya msingi na ku-deal na issue ndogo kwa kuamini kuwa Watz ni watu wasiojitambua.It's high time now we need changes.
 
Ndio ujue kwamba Richmond iliibuliwa kumchafua Edward Lowassa tu,hadi swala la Richmond linafika bungeni serikali ilikuwa haijalipa hata 100,iweje sisiemu wanashikia bango tu? Swala la Richmond ilikuwa mitambo lakini Hiyo mitambo ndio zinatumika mpaka leo,kura yangu ni kwa Edward Lowassa tu.
 
Ndio ujue kwamba Richmond iliibuliwa kumchafua Edward Lowassa tu,hadi swala la Richmond linafika bungeni serikali ilikuwa haijalipa hata 100,iweje sisiemu wanashikia bango tu? Swala la Richmond ilikuwa mitambo lakini Hiyo mitambo ndio zinatumika mpaka leo,kura yangu ni kwa Edward Lowassa tu.
richmond hatakama ni ufisadi wananchi tulipata umeme swali ufisadi wa richmond ni mkubwa kiasi gani kushinda escrow na mingine na kwa upana wa ukubwa wake kwanini hatuwapeleki wahusika mahakamani.mabadiliko hayaepukiki
 
Ni kwako na wengine unaowajua, Wengine watampa kura usijidanganye wewe! Subiri October utapata jibu sahihi siyo hilo unaloliwaza lina nafasi ndogo.
 
Ni kwako na wengine unaowajua, Wengine watampa kura usijidanganye wewe! Subiri October utapata jibu sahihi siyo hilo unaloliwaza lina nafasi ndogo.

ww na maccm wenzio laana ya kuwaibia wananch rasilimali zao itawatafuna milele
 
Naandika kwa masikitiko makubwa sana kuwa ccm imekosa kura yangu na watu wenye fikra kama zangu, ccm ndiyo chama dola kinachoendesha serekali ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania,udhaifu wa ccm upo hapa- serekali ina chombo cha kusimamia sheria na haki yaani mahakama leo ufisadi mkubwa wa kutikisa nchi yaani
EPA-132 BILL
RICHMOND-??,
TWIGA WALIOUZWA-???
VIBALI VYA SUKARI KUTOKA NJE-???
ESCROW- BILL 348
MEREMETA -205 BIL
MABEBEWA FEKI-258 BIL
NYUMBA ZA SEREKALI ZILIZOUZWA KIFISADI-???
BOAT MBOVU-8 BILL
WACHINA WASAMAKI- 1.3 TRILION

Huo ni baadhi tu ya ufisadi tunaousikia mara nyingi masikioni kwetu, udhaifu wenu unaanzia hapo juu, tunazo mahakama tulitegemea leo mafisadi wawe segerea na wanasiasa wawe majukwaani wanazungumzia sera bora za kuboresha maisha ya wanachi, leo serekali INALALAMIKA MA JUKWAAANI FULANI NI FISADI nani wa kumfunga fisadi kama siyo serekali???? huo ni udhaifu mkubwa kiasi cha kuniaminisha hakuna mnaloliweza, wananchi tunalalamika na serekali inalalamika, labda hamna ushahidi kinaweza kuwa kitetezi, Dr slaa amesema ana ushahidi mbele ya vyombo vya habari mbona hamja chukua hatua?
niweke wazi kuwa ccm kama mmeshindwa kupeleka hao mafisadi waliohusika na ubathirifu wa fedha zote hapo juu mnataka wananchi tuwape kura mkafanye nini ikulu?

Dr slaa, humphrey polepole zungumzieni hasara ya trilion 1.3 wanazodai wachina kama fidia huu ni mzigo kwa wa tanzania zungumzieni mabehewa feki, zungumzieni nyumba za serekali zilizouzwa kifisadi
wewe mchangiaji nisaidie majibu ya wapo wapi hao waliyotuletea hizo hassara hapo juu na baadhi ya figure nimezimekosekana waweza jazia pia

#Namalizia kwa kusema ccm ni dhaifu na udhaifu wenu ni huo hapo sitowapa kura yangu#

Hao akina dokta slaa na polepole unaowasema wameshanunuliwa wao wamekaririshwa Richmond na lowasa basi upuuzi mkubwa ambao ni zaidi ya Richmond hawauoni wameambiwa wazungumzie lowasa tu haya ndio maajabu mengine.
 
Samahani mkuu,hivi ishu ya 'samaki wa magufuli' ilikuwaje hadi tunadaiwa na wachina hizo 1.3 trilion!
 
Samahani mkuu,hivi ishu ya 'samaki wa magufuli' ilikuwaje hadi tunadaiwa na wachina hizo 1.3 trilion!
alikamata wachina wakiwa wanavua samaki bahari yahindi wakiwa na meli na mizigo yao wakakamatwa wakawekwa ndani kesi inavyoendelea wabongo wakaanza kukata ile meli scraper ikazama mwisho wasiku wachina wameshinda kesi wanadai meli yao na gharama nyingine.magufuli alikuwa ni waziri wa uvuvi kipindi hicho
 
Samahani mkuu,hivi ishu ya 'samaki wa magufuli' ilikuwaje hadi tunadaiwa na wachina hizo 1.3 trilion!

Mihemko yake ilimpelekea kugawa samaki za wachina km sadaka na kuzuia meli ya wachina ikaozoea pale bandarini.
Wachina wameshinda kesi hivyo wanadai chao kutoka kwa Serikali ya chooni!
 
Lizaboni; njoo huku umebaki mwenyewe siku hizi. Hata ID yako ya Simiyu Yetu naona unashindwa kuitumia sana. Hebu okoa kura hizi za Magufuli zinazoibwa hapa na haya "Malofa" na "Mapumbavuuuu". Mzee Mwanakijiji, njoo okoa jahazi. Mko wapiiiii??? Ah! Mbavu zanguuuu
 
Back
Top Bottom