Kwa hiki nilichomfanyia Salha ana haki ya kunitendea haya

ilifikia wakat anakuambia G sihoni faida yoyote yakua nahela namna hii lkn nisijihisi mwanamke.

Huwez amin, Mimi uchumi wangu ni wa kibongo tu lkn ninautumia kumfanya ajione mwanamke , namchukua nampeleka kule na kule anafurahi sanaaa , surprises kibaoo namfanyia, namsifiaa , namjali .

Mwanamke mpaka anawasimulia mashosti zake , nao wamenikubali sana ( kumbe wanawake wanasimuliana manyanyaso wanayopitia)

Basi siku hizi ni ... Shem (XXX) anakupenda sanaa, haishi kukutaja na kukusifia, usije kumuacha !!!.

Moyo wa mwanamke unapobadilika Unabadilika kwelikweli .

Kuna mdau humu alisema " Ndoa nyingi zipo kimwili ila kiroho zilishajifia"...

Nahuyu mwanamke siku hizi ananiambia " Sina hisia zozote na yule , ndio maana sitaki kushiriki naye , wacha ashiriki na wanawake zake huko".
Golden rule mojawapo.

Usianzishe uhusiano wala kusex na work mate.

Rookie mistake.
 
Jamaaa, Ukiwa nahaya mawazo, utatombewa sana mkeo, alafu mwisho wasiku hautakua na uwezo wa kumfanya kitu mtombajii wa mkeo !!!.

Badilika kama una Mke hakikisha HAUMPI SABABU YA KUTAFUTA FURAHA NJE.!!!

Haiwezekan yeye kila siku anasimuliwa na wenzake wanavyopewa maisha mazur ndoan, lkn yeye ni mateso alafu atuliee.

Wanawake ?? Mioyo yao hubadilika, nikm walivyo watoto wadogo.
Kaka naona nawe unawafahamu vizuri wanawake,kuna wanaume wenzetu wamekaa kuwalaumu tu wanawake na kuwatoa kasoro mara kwa mara.
 
ilifikia wakat anakuambia G sihoni faida yoyote yakua nahela namna hii lkn nisijihisi mwanamke.

Huwez amin, Mimi uchumi wangu ni wa kibongo tu lkn ninautumia kumfanya ajione mwanamke , namchukua nampeleka kule na kule anafurahi sanaaa , surprises kibaoo namfanyia, namsifiaa , namjali .

Mwanamke mpaka anawasimulia mashosti zake , nao wamenikubali sana ( kumbe wanawake wanasimuliana manyanyaso wanayopitia)

Basi siku hizi ni ... Shem (XXX) anakupenda sanaa, haishi kukutaja na kukusifia, usije kumuacha !!!.

Moyo wa mwanamke unapobadilika Unabadilika kwelikweli .

Kuna mdau humu alisema " Ndoa nyingi zipo kimwili ila kiroho zilishajifia"...

Nahuyu mwanamke siku hizi ananiambia " Sina hisia zozote na yule , ndio maana sitaki kushiriki naye , wacha ashiriki na wanawake zake huko".
Vp ume oa?
Kama bado,ukija oa itakuaje
 
Back
Top Bottom