Hapa ulikuwa unataka kusema nini mkuu, mimi binafsi sijakuelewa bado!Mara nyingi zinakuwa zinajieleza mkuu, mfano:
Watu kwa malalamiko siwawezi! Jamani, Mwikimbi na uzoefu wako hapa JF umeshindwa kutumia SEARCH button kuona thread unayoilalamikia ipo wapi mkuu? Watu mbona mnatawaliwa na hasira these days? Uchaguzi huu umewachanganya sana wakuu? Mbona mambo bado?
Mimi nime-search kwa keyword "AHADI" na nikachagua zije topic titles tu nikapata hiki:
Ahadi za Kikwete zafikia Trillion tisini (90 trillion tsh)
Sasa unataka kusema mods wamekuchakachua mkuu? Be fair!
Wengine mnaweza kufuatilia posts za mlalamikaji (kwa ushahidi) via: Search Results - JamiiForums |The Home of Great Thinkers
Mtu ukikuta huoni posts zako tufahamishe tukusaidie wakuu, halafu thread kama hii imeanzishwa jukwaa la siasa, ikihamishwa najua pia ni UONEVU MKUBWA ndani ya JF!
Hapa ulikuwa unataka kusema nini mkuu, mimi binafsi sijakuelewa bado!
Mara nyingi ninapotaka kujuwa kama thread niliyo post imesomwa au kujibiwa, huwa naingia kwenye profile yangu na kuchagua option (Find all started threads) yenye kuonyesha my threads, uko ninaweza kuona post zangu zote nilizo tuma hapa jamvini... Sasa post inapohamishwa inakuwa kama mimi nimejibu post fulani ambayo siifahamu, ndio maana wengi wanalalamika kuto ziona post zao... Cha muhimu hapa ni kuwatumia PM tu, kuwafahamisha kuwa post zao zimeunganishwa na post zinazo fanana na yake... basi.
Mh jamani....lakini tukisema watume PM kwa kila mmoja wetu ambaye anakosea ku-post katika forum husika kweli itawezekana? au kwa kila anaye-post topic ambayo inafanana na existing topic kweli wataweza, mbona kama tunawabebesha mzigo mkubwa mno...?
Kwanini tunataka tufanyiwe sisi tu yale ambayo tunajisikia sisi tutendewe without returning the favor...?
Cha msingi ni sisi pia kuwa makini pale tunapotuma post zetu, hakikisha ipo kwenye jukwaa husika na pia kama unaona kuna topic nyingine inayofanana na hiyo basi haina haja ya kuanzisha thread nyingine talking about the same issue....
That way tutakuwa tumerahisisha kazi for all of us...
Invisible atlest ungejibu hilo la post yake kutolewa gazetini.