Kwa haya anayoyafanya Makonda najaribu kufikiri nje ya box

CARIFONIA

JF-Expert Member
Aug 17, 2013
518
901
Ndugu zangu wadanganyika,

Matatizo au changamoto ambazo kiini chake ni mfumo mzima mbovu wa nchi hii, auwezi kutatuliwa kwenye mikutano na wananchi, kwa kuinua mwananchi mmoja na kumsikiliza kisha unampigia simu sijui waziri au mkurugezi kutatua shida ya huyo mwananchi.

Ukweli ni kwamba utatumia faida ya ujinga walionao wananchi wako, Wananchi hawajui nini maana ya propaganda na hiki anachokifanya bwana PAUL MAKONDA ni propaganda au mazigaombwe.

MAKONDA alikua karibu sana na Magufuli hivyo wenda alikua mshauri au alijifunza propaganda kutoka Kwa Magufuli, wananchi wanamuona Makonda kama mtu anayewasikiliza na kutatua shida zao Makonda anazidi kujipatia umaarufu, na sina tatizo na Makonda kwani najua ni mwanasisa na wanasiasa ni mabingwa wa kutumia propaganda ili kuwin trust kutoka kwa wananchi.

Lakini ukweli utabaki palepale anayoyafanya bwana Paul Makonda ni kiini macho tu kwani auwezi kutatua changamoto au shida za wananchi kwa kumsikiliza mwananchi mmoja mmoja pasipo kupambana na mfumo ambao ndio chanzo cha hizo changamoto, in short Makonda inabidi apambane na mfumo ambao umeletwa na chama chake mwenyewe.
 
Kajifunze kwanza kuandika vizuri ndio uje tena hapa. Achana na Mheshimiwa Makonda mtetezi wa wanyonge na sauti ya watanzania.watanzania tumempokea Mheshimiwa Makonda kwa mikono miwili na kwa upendo mkubwa sana katika mioyo yetu. Tunamshukuru sana Mh Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama samia suluhu Hasssan kwa kutuletea Mh Makonda kijana mchapa kazi na mwenye kujituma katika kufanya kazi.
 
Bado safari ni ndefu....!!!!

Ila unajitahidi kwa kweli.
 
Huyo ni Comedian tu. Ni watu wajinga tu na vilaza ndiyo wanayaamini hayo maigizo yake.
Hii itakuwa hivi hadi lini mtu kuitwa mjinga huku akijizolea umaarufu mkubwa na kufuatwa kwa wingi sana na wananchi wa kada mbalimbali?

Wanaomfuata Makonda, wasomi wapo pia, au wasomi wazuri wapo jf pekee yake?

Mawazo haya sasa imekuwa ujinga kwa sababu wanaoyatoa wanazidi kupauka huku Makonda akichanja mbuga
 
Hao wananchi unaowaita wajinga ambao wanamfuata Makonda, wewe unawazidi nini mkuu, maana hata wewe ni mjinga tu!

Kuandika tu ndo inatudhihirishia hivyo
 
kisha unaowaita wajinga wakuskize, wakufuate na wakuunge mkono wewe right?🐒
 
Kinachonisikitisha vijana tuliowapeleka shule wamerudi wakiwa wajinga kuliko walivyoenda! hili taifa limepotezwa na watoto wetu wenyewe wanaojiita wasomi lakini hawana hata akili kidogo walizokuwa nazo kabla ya kwenda huko shule wameziacha hukohuko
 
Kajifunze kwanza kuandika vizuri ndio uje tena hapa. Achana na Mheshimiwa Makonda mtetezi wa wanyonge na sauti ya watanzania.watanzania tumempokea Mheshimiwa Makonda kwa mikono miwili na kwa upendo mkubwa sana katika mioyo yetu. Tunamshukuru sana Mh Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama samia suluhu Hasssan kwa kutuletea Mh Makonda kijana mchapa kazi na mwenye kujituma katika kufanya kazi.
Na hicho nacho unasupport?!!
 
Hii itakuwa hivi hadi lini mtu kuitwa mjinga huku akijizolea umaarufu mkubwa na kufuatwa kwa wingi sana na wananchi wa kada mbalimbali?

Wanaomfuata Makonda, wasomi wapo pia, au wasomi wazuri wapo jf pekee yake?

Mawazo haya sasa imekuwa ujinga kwa sababu wanaoyatoa wanazidi kupauka huku Makonda akichanja mbuga
Dah aiseee!!!!
 
Katibu hasikiki tena hata jina nimemsahau, makonda anataka kuonekana Mungu kama JPM
 
Mafuriko ya kusomba akili fupi za wadanganyika 😁
Si kama vile tu chadema wanavyowaswaga wafuasi wao wenye akili fupi wasio na tafakari,wala uoni wa werevu na wapiga dili wa chadema, Mr 2,kapiga kisasa sawa kwa sasa anayo hotel yake kwa mgongo wa wajinga na pundachadema.
 
Ndugu zangu wadanganyika, matatizo au changamoto ambazo kiini chake ni mfumo mzima mbovu wa nchi hii, auwezi kutatuliwa kwenye mikutano na wananchi, kwa kuinua mwananchi mmoja na kumsikiliza kisha unampigia simu sijui waziri au mkurugezi kutatua shida ya huyo mwananchi, ukweli ni kwamba utatumia faida ya ujinga walionao wananchi wako, Wananchi hawajui nini maana ya propaganda na hiki anachokifanya bwana PAUL MAKONDA ni propaganda au mazigaombwe, MAKONDA alikua karibu sana na Magufuli hivyo wenda alikua mshauri au alijifunza propaganda kutoka Kwa Magufuli, wananchi wanamuona Makonda kama mtu anayewasikiliza na kutatua shida zao Makonda anazidi kujipatia umaarufu, na sina tatizo na Makonda kwani najua ni mwanasisa na wanasiasa ni mabingwa wa kutumia propaganda ili kuwin trust kutoka kwa wananchi, lakini ukweli utabaki palepale anayoyafanya bwana Paul Makonda ni kiini macho tu kwani auwezi kutatua changamoto au shida za wananchi kwa kumsikiliza mwananchi mmoja mmoja pasipo kupambana na mfumo ambao ndio chanzo cha hizo changamoto, in short Makonda inabidi apambane na mfumo ambao umeletwa na chama chake mwenyewe.
Ule ulaghai tu unajua kwa nafasi Yako huna mamlaka ya kutatua matatizo Bado unasema watu wakuletee matatizo Yao.Je kwa nini hayo matatizo hayafiki kwa wakuu wa Mikoa kabla ya kuja kutoa kwa watu wasio na uwezo nayo
 
Ndugu zangu wadanganyika,

Matatizo au changamoto ambazo kiini chake ni mfumo mzima mbovu wa nchi hii, auwezi kutatuliwa kwenye mikutano na wananchi, kwa kuinua mwananchi mmoja na kumsikiliza kisha unampigia simu sijui waziri au mkurugezi kutatua shida ya huyo mwananchi.

Ukweli ni kwamba utatumia faida ya ujinga walionao wananchi wako, Wananchi hawajui nini maana ya propaganda na hiki anachokifanya bwana PAUL MAKONDA ni propaganda au mazigaombwe.

MAKONDA alikua karibu sana na Magufuli hivyo wenda alikua mshauri au alijifunza propaganda kutoka Kwa Magufuli, wananchi wanamuona Makonda kama mtu anayewasikiliza na kutatua shida zao Makonda anazidi kujipatia umaarufu, na sina tatizo na Makonda kwani najua ni mwanasisa na wanasiasa ni mabingwa wa kutumia propaganda ili kuwin trust kutoka kwa wananchi.

Lakini ukweli utabaki palepale anayoyafanya bwana Paul Makonda ni kiini macho tu kwani auwezi kutatua changamoto au shida za wananchi kwa kumsikiliza mwananchi mmoja mmoja pasipo kupambana na mfumo ambao ndio chanzo cha hizo changamoto, in short Makonda inabidi apambane na mfumo ambao umeletwa na chama chake mwenyewe.
Ujinga wetu ndio karata kubwa ya Ccm kutawala nchi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom