Kwa hali ilivyo sasa ni bora CCM mkasubiri uchaguzi mwingine wa 2020

mambomoto

JF-Expert Member
May 10, 2011
326
236
Sina nia mbaya ya kupotosha ila ukweli unaojionesha kuwa kwa uchaguzi huu ni wazi kuwa CCM mmeshikwa pabaya. Nguvu inayojidhihirisha kwa mzee Lowassa ni kubwa na haitetereki licha kuwepo na njama nyingi za kumrudisha nyuma au wafuasi wake.

Ikumbukwe kuwa style anayotumia Lowassa ya kutokupenda malumbano wala kashfa wala matusi imemjenga sana kipindi hiki cha kampeni.
 
CCM wajiandae kisaikolojia kuzoe kaburi kwani hata mwaka 2020 hawatakuwepo watakuwa wamewafuata ndugu zao KANU,UPC n.k.
 
sina nia mbaya ya kupotosha ila ukweli unaojionesha kuwa kwa uchaguzi huu ni wazi kuwa ccm mmeshikwa pabaya . Nguvu inayojidhihirisha kwa mzee lowassa ni kubwa na haitetereki licha kuwepo na njama nyingi za kumrudisha nyuma au wafuasi wake. Ikumbukwe kuwa style anayotumia lowassa ya kutokupenda malumbano wala kashfa wala matusi imemjenga sana kipindi hiki cha kampeni.
ukweli mchungu...
 
Lowasa ameonesha ukomavu wa kiasi kikubwa sn.
Wataalamu wanaamini hakuna tusi baya km kukaa kimyya au kupuuza.
HAPA NI MABADIRIKO TU
 
CCM wakishindwa sasa hivi basi wategemee chama kufa kabisa.
 
Lowasa ameonesha ukomavu wa kiasi kikubwa sn.
Wataalamu wanaamini hakuna tusi baya km kukaa kimyya au kupuuza.
HAPA NI MABADIRIKO TU

Katika maisha ya kawaida, mtu anaekujua akakupuuza ana hekima na busara kukuzd
 
Sina nia mbaya ya kupotosha ila ukweli unaojionesha kuwa kwa uchaguzi huu ni wazi kuwa CCM mmeshikwa pabaya. Nguvu inayojidhihirisha kwa mzee Lowassa ni kubwa na haitetereki licha kuwepo na njama nyingi za kumrudisha nyuma au wafuasi wake.

Ikumbukwe kuwa style anayotumia Lowassa ya kutokupenda malumbano wala kashfa wala matusi imemjenga sana kipindi hiki cha kampeni.
Hiyo nguvu isiharibu kura siku ikiwadia,katika karatsi tick(v) ni moja ndani kiboma mbele ya mgombea unaye mtaka, wengine usiweke alama yeyote hata kama una mhemko.
 
Lowasa ameonesha ukomavu wa kiasi kikubwa sn.
Wataalamu wanaamini hakuna tusi baya km kukaa kimyya au kupuuza.
HAPA NI MABADIRIKO TU

Ni bora mtu akutandike viboko kuliko kukunyamazia,duh huwa inauma hiyo!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kwa kweli CCM imekwisha.hakuna namna ya kuiokoa.hali ni mbaya sana.
 
Hata kikipoteza uchaguzi CCM hakifi sana sana kitazaliwa upya na wanachama wazalendo wanaoamini kwa dhati misingi ya kuanzishwa kwake. Mmoja wapo ni Prof. Lwaitama aliyekiri kuwa mwanachama mfu wa CCM.
 
Sina nia mbaya ya kupotosha ila ukweli unaojionesha kuwa kwa uchaguzi huu ni wazi kuwa CCM mmeshikwa pabaya. Nguvu inayojidhihirisha kwa mzee Lowassa ni kubwa na haitetereki licha kuwepo na njama nyingi za kumrudisha nyuma au wafuasi wake. Ikumbukwe kuwa style anayotumia Lowassa ya kutokupenda malumbano wala kashfa wala matusi imemjenga sana kipindi hiki cha kampeni.
Yeye ajijenge hadi ghorofa 10 LAKINI RAIS NI MAGUFULI
 
Kwaherini CCM hata mgombea wenu Mr. Vitasa hauziki, AMECHANGANYIKIWA. Mpatieni ushauri nasaha kwamba yeye sio MGOMBEA BINAFSI bali anawakilisha CCM. Nionavyo anaona AIBU kuitaja ccm kwenye kampeni zake. POLENIIIIII!
 
Back
Top Bottom