Kwa hali hii TRA wametuangusha

Freedom tommorrow

JF-Expert Member
Jan 31, 2015
1,795
1,130
Kwa jinsi Muheshimiwa Dr. JPM anavyokamua majipu kila kukicha, inaonekana wazi kabisa taifa hili limeangushwa watumishi wachache tuliowaamini na kuwalipa mishahara mizuri kwa lengo wasije pokea rushwa TRA ni moja wapo. Kama watumishi hawa wangekuwa na uchungu na nchi yetu basi leo Tanzania tusingekuwa Omba Omba.

Angalia Magogo yanavunwa TZ yanapitishiwa Zambia kwa documents feki za baadhi ya watumishi ambao si waaminifu kwa Taifa letu. Makontena yanapita bila kulipiwa ushuru na mengine yakuja.

Laiti kama wakusanya ushuru wangewakomalia matajiri nchi hii ingekuwa mbali sana. lakini si hivyo anakomaliwa mfanya biashara wa maduka ya kariakoo tena wengine kipato chao ni kidogo...inashangaza!

"chochote kilichosimama kwa dhulma, kitakatika" (Muhammad PBU)
 
Kila kitu kina mwisho! Tra wamekuwa wakifanya madudu kwa kipindi kirefu sana
Mpaka walikuwa washaona kuwa ni halali wanachofanya! Mpaka huku mitaani walikuwa wakijitapa sana,
Bora washikishwe adabu maana ndy watakuwa na decipline ktk kazi zao naona kwa sasa tutaheshimiana.
 
Kwa jinsi Muheshimiwa Dr. JPM anavyokamua majipu kila kukicha, inaonekana wazi kabisa taifa hili limeangushwa watumishi wachache tuliowaamini na kuwalipa mishahara mizuri kwa lengo wasije pokea rushwa TRA ni moja wapo. Kama watumishi hawa wangekuwa na uchungu na nchi yetu basi leo Tanzania tusingekuwa Omba Omba.

Angalia Magogo yanavunwa TZ yanapitishiwa Zambia kwa documents feki za baadhi ya watumishi ambao si waaminifu kwa Taifa letu. Makontena yanapita bila kulipiwa ushuru na mengine yakuja.

Laiti kama wakusanya ushuru wangewakomalia matajiri nchi hii ingekuwa mbali sana. lakini si hivyo anakomaliwa mfanya biashara wa maduka ya kariakoo tena wengine kipato chao ni kidogo...inashangaza!

"chochote kilichosimama kwa dhulma, kitakatika" (Muhammad PBU)
Amen Amen!
 
Usilolijua ni sawa na usiku wa Giza, magogo yanatoka Zambia Ila huko kwao ni illegal wanaokata na wanaouza ni wazambia na wateja ni wachina, pia Congo wenyewe ni halali Ku export magogo. Siyo kila jambo ni uongo au ukwepaji kodi! Kama wangesema wanataka kodi ya magogo wangelipwa! Waweke kodi elekezi uone watu wanavyofanya kazi!
 
mimi binafsi siwaamini tena, tulikuwa tunajua wanajenga majumba kwa mishahara yao na mikopo kumbe sivyo. mkuu fuatilia habari za magogo kwenye MPEKUZI |Tanzania Entertainment News,Politics News ,Celebrity Gossip and Live Updates
 
Mara mana hakuna namna tena!

If u did fucking deals..stay ready to get sucked by JPM
 
mimi binafsi siwaamini tena, tulikuwa tunajua wanajenga majumba kwa mishahara yao na mikopo kumbe sivyo. mkuu fuatilia habari za magogo kwenye MPEKUZI |Tanzania Entertainment News,Politics News ,Celebrity Gossip and Live Updates
Mkuu, ulichoandika ni kidogo sana ...na bado umewapa heshima hao WATUMISHI chanya!!! Nina amini Serikali ikifanya CROSS-CHECK itagundua madudu na balaa ktk kila Kona ya nchi hii...!!
Goldman weka imani kuwa kinacho salia ndani ya dola ni kiduchu, wajanja wachache wanaofaidika ...
 
Last edited by a moderator:
Inabidi tanzania ijifunze kuwasweka ndani wageni ili watie adabu na wafuate sheria wakiwa nchini, wachina na wahindi ni wahujumu uchumi namba moja , na wanatumia pesa. tukiwasweka ndani zaidi ya miaka 50 per person watatia adabu.Wachinese wanamtindo wa kuwa karibu sana na viongozi wakubwa serikalini, eg mkuu wa police kanda ya zote maalumu, ukimgusa au akikamatwa anapiga simu. Hawa dawa yao ni kuwafunga kama watu watano hivi basi wanaogopa. Tukicheka na wachinese watamaliza rasilimali misitu yote afrika. Mpango wa wachinese ni kuhakikisha watakamua rasilimali zote za afrika kwa njia yeyote ile hadi ifikapo 2050 kusiwe na any resource in africa.
 
Hakika wabunge wanapaswa kusimama kidete na wananchi kutoa ushirikiano wa kutosha kuinusuru nchi.fikiria kifaa kama Tv madukani Kariakoo unaweza kupata punguzo la ununuzi kwa kiwango chakustaajabisha kabisa.yote haya yanafanyika kwa kuwa kuna ukwepaji kodi wa hatari kabisa.
 
Back
Top Bottom