Kwa hali hii mbunge wetu wa mafia achia ngazi tu?

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Jul 7, 2009
2,653
264
Upepo huu wa mabadiko ya wasomi wa Mafia hasa vijana unakuweka Mbali na utawala wa kisiwa Chetu. Utumiaji wa mitandao ya jamii na kuhamasihana ktk mabadiliko kunamuweka mbali mbunge weti

Inaonekana 2015, vijana wengi waliopo vyuo vikuu wameapa kuingia ktk kinyanganyiro Cha Ubunge na Udiwani.
Hiili linawezekana kama Vile Akina kafulila na Vijana wengine
 
Upepo huu wa mabadiko ya wasomi wa Mafia hasa vijana unakuweka Mbali na utawala wa kisiwa Chetu. Utumiaji wa mitandao ya jamii na kuhamasihana ktk mabadiliko kunamuweka mbali mbunge wetiInaonekana 2015, vijana wengi waliopo vyuo vikuu wameapa kuingia ktk kinyanganyiro Cha Ubunge na Udiwani.Hiili linawezekana kama Vile Akina kafulila na Vijana wengine
Kaka hata hueleweki!
 
Back
Top Bottom