Kuweni makini na vocha mnazotumia mnazitupa wapi na je mmeziharibu?

nhassall

Senior Member
Dec 17, 2010
195
41
[h=6]Kuna njia mpya inatumiwa na vibaka na wezi wa magari kutoweka kwenye mkono wa sheria kutokana na uhalifu wao. Wanakusanya vocha zilizotumiwa pindi wanapotelekeza gari au kutupa miili ya watu waliowaua na kuacha vocha hizo zilizotumika kwenye tukio. Police wakifika eneo la tukio wanatumia namba za hizo vocha kusaka namba ya simu yamtumiaji wa hiyo vocha. Tayari watu wawili wameshikiliwa keko wameathirika na huu udanganyifu. Tafadhali hakikisha umeharibu vocha yako baada ya kutumia ili nawe usipatwe na janga hili.

Taarifu habari hii na marafiki zako.
[/h]
 
Kweli uhalifu Tanzania umefikia kiwango cha juu kabisa,hii kitu Kova na majambazi wenzie wataitumia sana kwenye taarifa zao za 'kiitelejensia'
 
Kuna njia mpya inatumiwa na vibaka na wezi wa magari kutoweka kwenye mkono wa sheria kutokana na uhalifu wao. Wanakusanya vocha zilizotumiwa pindi wanapotelekeza gari au kutupa miili ya watu waliowaua na kuacha vocha hizo zilizotumika kwenye tukio. Police wakifika eneo la tukio wanatumia namba za hizo vocha kusaka namba ya simu yamtumiaji wa hiyo vocha. Tayari watu wawili wameshikiliwa keko wameathirika na huu udanganyifu. Tafadhali hakikisha umeharibu vocha yako baada ya kutumia ili nawe usipatwe na janga hili.

Taarifu habari hii na marafiki zako.
huo ni udhaifu wa kipolisi zaidi
ni polisi wanatakiwa wafikirie nje ya box. sasa ni mwizi gani njinga aache vocha iliyotumia , kwani hajui kama hiyo ni footprint
 
Tunashukuru Kamanda!

Haya ndiyo mojawapo inayonifanya niipende JF tahadhari yote iwe na hata Amani utapata humu.

Pamoja Kamanda!
 
CDM ndo wametuma vijana kusaka vocha wanazinunua kuna jambo wanapanga mda c mrefu wataibuka kwny tv!!
 
CDM ndo wametuma vijana kusaka vocha wanazinunua kuna jambo wanapanga mda c mrefu watakutana kurasini watapiga mabia then wataibukia kwny tv!!
 
Tahadhari inamaana kubwa.

Nashukuru sana mkuu.

Nitawajulisha niwapendao na nisiowapenda.

Naanza na wanaJf, chukueni tahadhari, katika issue ya mauaji Polisi makini huamini muuaji hakosi kuacha kitu katika sehemu ya tukio.
 
thanks mkuu ila kama polisi wakifanya utafiti wa kina watagundua coz vocha inapowekwa system inarekodi na mda iliowekwa na deteils nyingine muhim ambazo zinaweza kuonyesha uhalisia.
 
Hii taarifa nilikuta fb, ilitolewa mapema kbs na kampuni ya tigo, inaonekana tatizo limekuwa criaz so tuwe makini!
 
Hii taarifa nilikuta fb, ilitolewa mapema kbs na kampuni ya tigo, inaonekana tatizo limekuwa criaz so tuwe makini!


Yani ulishasikia kitambo halafu ukawa kimya?
Acha uchoyo kwa tahadhari kama hz First Born wote tungekuwa wachoyo kama wewe tusingekuwa hapa leo tulipo JF! Usingesema hata ulishaoiona kule FB!

Jirekebishe FB!
 
huo ni udhaifu wa kipolisi zaidi
ni polisi wanatakiwa wafikirie nje ya box. sasa ni mwizi gani njinga aache vocha iliyotumia , kwani hajui kama hiyo ni footprint
Na haiwezekani kumshikilia mtu gerezani kama huna concrete evidence ya kufanya hivyo, kama unaokota vocha katika eneo la tukio na kupata namba ya simu ya mtu aliyetumia vocha hiyo, jambo la kwanza ni kumu-interogate huyo mtu ili kujua alikuwa wapi siku hiyo ya tukio, na kama maelezo yake ni ya kutia shaka then anaweza kuwa first suspect, lakini kama kwa mfano sikuwahi kufika katika hilo eneo wakati huo wa tukio sasa kuna haja gani ya kunishikilia...! Kuna haja ya kuangalia huzi sheria za "anaisaidia Polisi" kwanza zimepitwa na wakati...............
Mimi sitaweza kutembea na makaratasi mfukoni eti kwa kigezo zitatumiwa na wahalifu, tena hao wahalifu waambie waje niwape hizo vocha nilizotumia waone kama nitakamatwa....................
 
CDM ndo wametuma vijana kusaka vocha wanazinunua kuna jambo wanapanga mda c mrefu watakutana kurasini watapiga mabia then wataibukia kwny tv!!
Samahani kwa usumbufu, una miaka mingapi??


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Ubarikiwe Kamanda, hii mijambazi kila siku inabuni mbinu mpya iko ka ccm kila siku inawaza kuangamiza watu wasio na hatia
 
hivi ndio polisi hawa hawa wanaochunguza kesi za mauaji kwa miaka nenda rudi au ni kitengo kipya.
 
Back
Top Bottom