Kuwachukua "misukule " wenzenu mnaona raha gani jamani??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Ndugu wapendwa waweza kuona dunia kila mtu anakuchekea baya ujui nani anakupenda ktk hao wanaokuchekea..
majana kulikuwa na misukule iliochukuliwa na mapepo kwa uweza wa mungu walirudishwa na wengine wakiwa uchi wa mnyama ;;kwa waliokuwa pale ufufo na uzima waliweza kuona wale watu zaidi ya miamojanamsini kibaya zaidi wale watoto wadogo wa miaka 5..mmoja alisema alikwua akitoka shule akaitwa na bibi mmoja kwenye nyumba zile za tanganyika packers..akasema wenzake wakamwambia mbna akuna anaekuita akaishia kuingia kwa huyo bibi...amekuwa akimlisha maji damu na pumba muda wote mpaka watu ndugu zake walipokwenda kuomba waombewe mtoto wao aje..gafla akasikia sauti ya mama yake akawa analia mwisho huyo bibi akamfunga mdomo wakati akiwa anamfunga mdomo akasikia mtu anasema kwajina la yesu herieth njoo kila akiita anaona bbiibi anaanguka gafla akapata nafasi ya kukimbia akakimbilia kwa nyumba ya jirani ambao wakampeleka polisi ...wakiwa ndan ya ibada wale polisi waksema waje kuulizia yawezekana alipotea ndipo mmoja wa ndguze akamwona ...walilia sana

jamani hivi nyie watu kwa nini mnawachukua wenzenu misukule..najaribu kuimagine hao bibi wa tanganyika packerrs wanalala sehemu chafu sasa sielewi lengo lao ni utajiri upi??

Embu juen mungu yupo jamani mtaaibika
 
USIJALI SAMSON HAWA JEHANAMU INAWANGOJA WASIPOTUBU DHAMBI ZAO NA KUAZIMIA KUZIACHA..
TUMEAGIZWA KUWAPENDA MAADUI LAKINI SIKU ZOOTE NAPATA SHIDA SANA KUWAPENDA WATU WANAOHUSISHWA NA TUHUMA ZA WACHAWI.....
Mix with yours
 
Haya mambo ni magumu sana kuyaamini, hasa ukichukuria jinsi hawa ndugu zetu walivyowabunifu sana kwenye ujasiliamali huu.
 
Ukitakata kupata jibu la mambo kama haya sikiliza wimbo wa jamaa mmoja anaitwa Roma wimbo wake unaitwa "Pastor"
 
Ona SASA manavopoteza nyinyi? Mtu akifa kafa hamna njia yoyote itakayo mfanya arudi awe hai..! hehehe wabongo bana yaani mnaa uwanjani kushuudia watu wamefufuka hahahaha! ELIMU KWELI MUHIMU!:becky::becky::becky::becky::becky:!
 
Back
Top Bottom