Zombie S2KIZZY
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 826
- 1,622
Kama umemchooka tuachie siisi nasemajeeeKuwa mwanaume si jambo jepesi kwa hii dunia, imagine unatakiwa kumpa mtu hela na hakudai wala nini!!!
tumle mpk mifupa sisi ndo mafisi
Asumoney
Kama umemchooka tuachie siisi nasemajeeeKuwa mwanaume si jambo jepesi kwa hii dunia, imagine unatakiwa kumpa mtu hela na hakudai wala nini!!!
Ndo maana Mungu alitupa adhabu ya miba na kuchunga ng’ombe kama vp zaa kwa uchungu na weweKuwa mwanaume si jambo jepesi kwa hii dunia, imagine unatakiwa kumpa mtu hela na hakudai wala nini!!!
We una maoni gani mrembo?Jf Ina heka heka hii khaaah
Jf Ina heka heka hii khaaah
Samahani mkuu.....We una maoni gani mrembo?
Maoni yangu, aende upande wenye unafuu kwake.We una maoni gani mrembo?
MfahamisheeSamahani mkuu.....
Kwani weni mgeni humu...
Mwenyeji hapa jukwaani?Samahani mkuu.....
Kwani weni mgeni humu...
Labda hivo nadhani ndo dhamira yakoMaoni yangu, aende upande wenye unafuu kwake.
Umesahau ajue na kupiga nyeto ili madem wasimsumbueMkuu nikupe siri, hakikisha kama mwanaume unauwezo wa kujihudumia kila kitu sio kipesa tu ila kimaisha zaidi.
Mfano, hakikisha unaweza kujipikia, kujifulia, kuwa na furaha na kuwajijali kiusafi na kimavazi.
Wanawake wengi wana control na kutusumbua akili sababu wanajua hatuwezi jitegemea kwenye hivyo vitu.
Ukijimudu hivyo vitu, hakuna mwanamke anaweza kuwa na jeuri mbele yako.
Hakikisha mwanamke akijikadiria aone kabisa hata akiondoka unaweza kujihudumia na mwanamke mwingine akakupenda.
Ni simple sana, jijali.
usinambieeeLabda hivo nadhani ndo dhamira yako
Mpokee mwenzako
Haaa daahKuwa mwanaume si jambo jepesi kwa hii dunia, imagine unatakiwa kumpa mtu hela na hakudai wala nini!!!