Kuwa Mwanaume ni Majaribu

Mr Natafuta

JF-Expert Member
Sep 26, 2016
1,670
760
Wana Body

Hope mko powa wote hasa wakiume hili swali linawahusu sana ninyi,

Kwa upande wangu hii inakuwa changamoto sana kuwa mwanaume nafananisha na kufika kwenye buffet kuna vyakula vya kia aina na huwez kuvila vyote at once, zoez linakuwa gum sana kwenye selection maana kila kimoja kiko na taste tofauti na vya kuvutia mnooo.

Ndio maisha lahaula lakwata watoto wanazaliwa daily wazuri iiiiii mpaka huruma, yaani ukipita huku wakali kule wakali nahis kama mens tumepewa haya maua kama mitihani

Yaani unashindwa kuwazoea eti

Kuwa mwanaume sio rahis kama wengi wanavyozan utuliv wa kina wahitajika kuyashinda majaribu haya

Wewe waichukulia vipi hii hali yakhe
 
Aaaah, nshawazoea. Tumezaliwa nao, tumekua nao, tunaishi nao na tutakufa nao... Haina haja ya kuwashobokea sana. In the end of the day taste ni ile ile tu...

simaanishi kumparamia kila mmoja ila walivo sasa matoleo mapya kil kukicha
 
Handling ya wanawake skuiz imekuwa ya aina yake yaani waweza sema napita nae akaku care ukajikuta umeoa
I dont think kwamba kuna any care kama usemavyo ndio maana mahusiano yanayodumu ni machache sana. In most case women are there just to dig the gold
 
simaanishi kumparamia kila mmoja ila walivo sasa matoleo mapya kil kukicha
Of coz kuna watoto wakali sana cku hizi... Kuna kipindi nilikuwa na ka frem kule Mwenge karibu na wanaposukia basi walikuwa wanapita wadada wa kila aina... For my good sake nilikafunga...
 
Of coz kuna watoto wakali sana cku hizi... Kuna kipindi nilikuwa na ka frem kule Mwenge karibu na wanaposukia basi walikuwa wanapita wadada wa kila aina... For my good sake nilikafunga...
Watoto wa chuo tuache utan ni wakali balaa. Anza mwenge sinza na kariakoo aisee wazuri
 
Ukiendekeza tamaa utaangukia pua

Valee mnatupa wakat mgum sanaaa sio kidogo well sio kwamba namaanisha mens waparamie kila mtu nop ni chemsha bongo tu kuangalia wengine haya matoleo mapya kila siku wanayachukuliaje
 
Of coz kuna watoto wakali sana cku hizi... Kuna kipindi nilikuwa na ka frem kule Mwenge karibu na wanaposukia basi walikuwa wanapita wadada wa kila aina... For my good sake nilikafunga...

usingefunga wewe nikuwazoea na kila ukimwona mkali unamshukuru mungu kwa uumbaji
 
Back
Top Bottom